Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Wamekosea,Wanapaswa kuwajibika ama kuwajibishwa..Nidhamu,Heshima,adabu na hekima ni muhimu sana..

Hata hivyo

Nadhani Mfumo wa utoaji habari ktk taasisi za Umma kwa sasa umeshikwa na Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano na Habari wakisaidiwa na maofisa wao..

Hawa wamekuwa kioo na wasemaje ktk mambo mbalimbali yanayohusu taarifa mbalimbali,Machapisho,Vipeperushi,Fafanuzi na maelezo..

Ukitafakari namna wanavyofanya kazi ktk Taasisi na mashirika mengi uwezekano ni mkubwa wao kufanya mengi bila idhini ya wakubwa au watendaji wa taasisi..

Mungu ibariki Tanzania
 
Jana walifanya kosa la kutoa tangazo la kumpongeza NAPE baada ya kutumbuliwa ....Naona mama amekuwa mbogo sana nahisi huko mbele atakuwa balaa zaidi
Bimkubwa kawachelewesha sana hawa jamaa, labda itakuwa alikuwa anausoma mchezo.

Bado nashangaa kamuachaje kijana mmoja list ya wanafiki ikamilike. Maza asimuonee aibu kijana aliebaki ni kampuni moja na aliowatimua. Huyu ataendeleza michakato yao haramu ya kusaka urais.

Mama ameweza, mama anaupiga mwingi , mama mitano tena ili afikishe SGR Mwanza na Kigoma .
 
Wamekosea,Wanapaswa kuwajibika ama kuwajibishwa..Nidhamu,Heshima,adabu na hekima ni muhimu sana..

Hata hivyo

Nadhani Mfumo wa utoaji habari ktk taasisi za Umma kwa sasa umeshikwa na Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano na Habari wakisaidiwa na maofisa wao..

Hawa wamekuwa kioo na wasemaje ktk mambo mbalimbali yanayohusu taarifa mbalimbali,Machapisho,Vipeperushi,Fafanuzi na maelezo..

Ukitafakari namna wanavyofanya kazi ktk Taasisi na mashirika mengi uwezekano ni mkubwa wao kufanya mengi bila idhini ya wakubwa au watendaji wa taasisi..

Mungu ibariki Tanzania
Ndio maana wala kwa urefu wa kamba wanalifilisi taifa letu,tangazo kama hilo bilashaka limetumia rasilimali katika mashirika hayo,kwa hiyo uidhinishaji ni holela kiasi hicho,kama ndivyo,huenda huu ni mwanzo wa mageuzi makubwa GenZ sio wapole pole.
 
Hapa kuna mchezo tunachezewa wa kisaikolojia. Hawa matapeli wana ajenda yao ya Siri.

Nape na makamba jr hawajatolewa kwasababu za kiutendaji wametolewa ili waanze kuingia mtaani kufanyia utekelezaji zoezi la kutengeneza kura kwaajiri ya uchaguzi ujao.
Hata mimi nimeliona hilo. Watashiriki vizuri tu kwenye goli la mkono hivyo wananchi hawatahangaika nao wakidhani hawako kwenye system kumbe ndiyo watakuwa wahusika wakuu. Hii nchi aisee
 
Hata mimi nimeliona hilo. Watashiriki vizuri tu kwenye goli la mkono hivyo wananchi hawatahangaika nao wakidhani hawako kwenye system kumbe ndiyo watakuwa wahusika wakuu. Hii nchi aisee
Uzuri,tunalijua bao la Nkono na unafiki wa Toba kwa Mungu baadaa ya wizi wa kura hapo ndio utakuwa mwanzo wa Tanzania mpya.
 
Ukiingia serikalini ushaingia kwenye nfumo wa ki Mafia, kukubali appointment tu ni setting yourself for failure.

Ni vigumu sana ku maintain utendaji wa Private Sector serikalini.

Tatizo sasa inawezekana uteuzi wenyewe unausikia redioni, halafu ukiukataa umemuaibisha rais na kujitengenezea matatizo, inabidi ukubali tu.
Aisee hii ni kweli kabisa
 
Wateule wa Mh Rais ni wawakirishi wa Mh Rais ktk utekelezaji wa majukumu mbalimbali..Kimsingi walipaswa kumpongeza Mh Rais kwa kutengua na kuteua watendaji wengine kumwakirisha (Delegates)-Mawaziri..

Urais ni taasisi pana mno..Inastahiri heshima kubwa na ndio maana si kila mmoja anaweza kuwa Rais wa nchi..Nadhani hili la leo ni salaam ya mguu sawa kwa wateule wote kutambua effects pana za maneno yao,matamko yao,matamanio yao,kiu zao na harakati zao..
 
Maharage I used to know was different from the new Maharage under the tutelage of January when he was at Tanesco and Nape when he was working for Posta.
It was obvious, the changes were meant something, good or fishy. I hope no any ill doing in his few years at tanesco and Posta.
After all, Softnet sijui imesambaza mkonga wa mkonga wilaya ngapi
 
Afike mpaka kwenye uhamisho, kuna watu hawakai kwenye vituo vya kazi, wanacheza na perdiem tu kwa kukaa head office eti Dodoma na hivi perdiem iliongezwa basi ni kuzunguka tu, wengine uhamisho hakuna tangu kaajiliwa ni kituo hicho hicho mpaka anaweka Bondi yake hapo.
 
Back
Top Bottom