Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Kumekucha
 
Hizo hisia zako,wewe kwa akili zako timamu hao ttcl wana tija gani,yan hata vocha tu hawana huku mitaani ulitaka wasitumbuliwe ili iweje,watu wametuma maombi ya internet cable yao mwaka wa 3 sasa hawajawaunganishia,hao shwai ndio wale mshahara unaingia mwisho wa mwezi hawajali majukumu yao
 
This is war


Seems walikuwa wanamzingua mama
Hapana. Atulie tu. Hakuna wa kumzingua. Ni kuendekeza personalities tu badala ya masuala ya msingi.

Kama kuna mtu anazingua basi ni huyu Mwigulu aliyeshindwa kusimamia uchumi dola hazipatikani na kuna inflation ya kutisha ya bidhaa! Ila hajatumbuliwa na hadi sasa ni Waziri wa Fedha!

Mwingine labda Nape kwa kauli aliyotoa. Ila hawa Wakurugenzi hawana shida yeyote. Kumshukuru mtu kwa utumishi wake ni suala la kawaida sana kwenye dunia iliyostaarabika.
 
Kuna alodanganya kwenye Uzi fulan nikamwambia
 
Kama mtu mzima lazima nijiulize, je kuna nini kinaendelea? Hii hatari! Je kuna watu walikuwa wanatembeza mafaili na pengine watu waliramba teuzi fake/premature - kabla ya vetting? AU ndo kutengua hili waanze kutangaza nafasi za wajumbe wa bodi na watu wapiganie kama ilivyo tangazwa na msajiri wa mashirika ya umma
 
kUNA POST HUKO x WALIKUWA WANAMPONGEZA NAPE KWA KUFANYA NAYE KAZI.. THIS MIGHT B THE REASON i GUESS
 
Mkuu hapa kwetu pesa ni first prioroty personal character and personality badaye, wewe huoni watu wazima wanafanya uchawa wa kujidhalilisha kisa pesa, ma professor ma dakitari kisa uteuzi......
I was being abstract.

Yani nimefanya derivation kwa Pure Math halafu umeleta hesabu za Basic Applied Math.
 
Maharage hana cha kupoteza,kapiga pesa vibaya mno huyo jamaa
Ana cha kupiteza, kikubwa sana.

Tatizo Tanzania watu mnaangaliabkila kitu kwa pesa.

Kashaharibu CV yake anaonekana mtu wa kuharibu haribu na kufujuzwa kila anapokwenda.

Akitaka kufanya kitu kikubwa na watu wanaonielewa, hilo linaweza kuwa tatizo.

Ila, sitegemei Watanzania wengi waelewe hilo.

Kwa sababu, kama ulivyosema wewe, akili zao zinaishia kwenye kuangalia pesa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…