Kwa nini unauita huu ni uteuzi?
 
Naambiwa mwenda zake mkoani usiku wa juzi alimpigia Godfather wake JM akilalamika kaonewa kupelekwa kule kijijini akidai hakukosea popote.

Jawabu la Godfather kwake lilikuwa moja tu nanukuu;
"Kule ndiyo kuzuri kale sato Amos."

Ni wazi mwana hakuridhishwa na hamisho lile na huenda hakujiandaa pia na dharula kama ile na pengine aliona alifika.

NB: KALE SATO MWAMBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…