Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Kimemrambaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Makala nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimemrambaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Makala nje
Waziri mkuu kasababisha makala kuhamishwa baada ya kuonekana makala ameshindwa kutatua Kero za wanabusiness. Ila waziri mkuu hakutumia hekima kuwaponda wafanyakazi wa TRA Kwa kusikiliza pande mmoja.Sasa mambo ya kariakoo yanahusiana zaidi na mambo ya kikodi(TRA) hapo mkuu wa mkoa anafanyaje?wao wana kwambia hizo ni siasa tu sisi tunafanya kazi kwa mujibu wa sheria,na waziri anawasifia kwa wanachofanya hapo RC unafanya nini?
Hamishia hapa Buzuruga tumeshaweka miundombinu ya fire.Mniombee GENTAMYCINE kwani ndiyo nipo njiani sasa nawahi kuelekea Mkoani Mwanza kuondoa Duka langu Soko Kuu kwani Mchomaji Masoko makubwa ya Tanzania sasa anaenda kuyaanza Maisha yake mapya Mkoani Mwanza.
Chalamila pia ni Lecturer na amefanya hiyo kazi muda,kabla hajaingia sasa kwenye siasa.Makalla ni CPA Hakuna mtu mwenye sifa ya kutatua migogoro ya kibiashara hasa kuhusu kodi kama mtu mwenye hiyo qualification.
Tells you hawa watu hizi qualifications zao wanavyozipata kwa kuunga unga, yeye kwa elimu yake aitakiwa kulimudu hilo swala ana uwezo wa kuwa challenge both TRA na wafanyabiashara kupata muafaka; kushinda huyo waziri mkuu.
Hakutosha kwa mkoa wa Dar kwa jinsi alivyo deal na hilo sakata la kodi kwa qualification zake.
Kama mmemsoma huyu mama,Hataki mtu aisoee sana sehemu na sehemu isimzoee.Nini maana ya kumhamishia mkoa mwingine, hawezi kuongoza, hatatui migogoro ama ni usanii huwa unafanyika?!
Jamaa amepoa mno yaaniKuna namna Makalla alijitahidi sana ila Kuna mahali alikuwa anapwaya....Dar Inahitaji Mkuu wa mkoa mwenye bidii sana mbwembwe mingi awe sharp na smart kichwani sisemi Makalla hakuwa na vyote ila Kuna namna Chumvi haikukolea kwenye Chakula......
You mean ‘Makalla’Chalamila pia ni Lecturer na amefanya hiyo kazi muda,kabla hajaingia sasa kwenye siasa.
Siyo kilaza.
Mwanza imepigwa na kitu kizitoChalamila Dar??🤣🤣🤣🤣
Huu ni uchonganishi wa kumuondoa kabisa. Dar inahitaji mtu aidha mkorofi kama Makonda au mwenye hekma kama Mecky Sadick
Na sisi Mwanza tunamhitaji sana Makonda.Makala hamna mtu mle! Ni vile tu kujuana na team wema hawafi!
Dar inataka mtu kama Makonda hasa kwenye suala la usafi
... mkiambiwa inahitajika Katiba yenye nguvu sio tu kurudisha nguvu kwa wananchi lakini pia ku-regulate madaraka ya watawala hua mnajitoa ufahamu kuelewa; hiyo ndio maana yake! Kwa Katiba hii siku likizuka dikteta la ukweli ndio mtajua hamjui and will be too late.Je!
Wana Mwanza ndio mahali pa kupeleka walioshindwa majukumu yao?
Kwani lazima mtu aendelee kuwa mkuu wa mkoa hata kama ana feli.
Ni lini CCM na mwenyekiti wake mtaacha kulindana huku mkiwagharimu watanzania jasho na damu?