Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Hili jiji ni la Makonda ama apewe Ubunge wa Kigamboni, Ndugulile hatumtakiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisha fariki huyu toka 2018Unajua Abbas Kandoro au umri hauruhusu?
Wataelewa tuKazi kweli kweli mwendo wa kufungua vitanda na kuvipandisha kwenye fuso kila siku [emoji1]
Umemmiss mumeo sio?Makonda atarudi hivi karibuni, muda ni wakati mzuri.
Umeshafika rondo kuzika kachero lako lilijifia kizembe juzi?Tanzania mtu yoyote anaweza uongozi tu hata binti wa chekechea usishangae chalamila. Mbona Jiwe aliweza urais na mambo yakaenda tu?
Stroke magu2016 Crimea wakatanta voicer Kulwa Jilala Magonjwa Mtambuka
Unaonaje wateule wa dhalimu wako wanavyotamba?Futuhi analetwa hapa Dar?!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo:
1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
3. Bi Fatma Abubakar Mwassa amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
4. Bw. Albert John Chalamila amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Uhamisho huu wa Wakuu wa Mikoa unaanza mara moja.
View attachment 2623195
KUHUSU MAKALLA
View attachment 2623475
Makalla alishawahi kushika nafasi ya katibu wa uchumi na fedha wa CCM na aliwahi kukaimu nafasi ya katibu wa umoja wa vijana wa CCM ( UVCCM).
Pia. Amewahi kuwa mbunge wa Mvomero kwa vipindi tofauti na mara ya mwisho alikuwa mbunge mwaka 2010 hadi mwaka 2015.
Makalla pia, amewahi kuwa naibu waziri wa habari enzi za utawala wa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.
Aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kisha kuhamishiwa Mkoa wa Mbeya kabla ya kuhamishiwa Mkoa wa Katavi.
Mei 14, 2019 Hayati John Magufuli alitengua uteuzi wake akiwa mkoani Katavi.
Mei 15, 2021, Rais Samia alimteua Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam
Pia, soma: Rais Samia, tuondolee huyu RC Amos Makalla mkoa wa Dar es Salaam
KUHUSU CHALAMILA
View attachment 2623474
Chalamila aliteuliwa Rais Samia kuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza Mei 15, 2021 akitokea Mbeya alikodumu kwa takribani miaka minne tangu Julai 29, 2018 alipoteuliwa na Hayati Dk John Magufuli.
Baadaye uteuzi wake wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ulitenguliwa na raia Samia na kukaa nje kwa siku 412 hadi Julai 28, 2022 alipoteuliwa tena na rais Samia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Kabla ya hapo Chalamila alikuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, wadhifa alioupata Desemba 5, 2017 baada ya kushinda katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho.
Kabla ya kuibukia katika siasa, Chalamila alikuwa mhadhiri msaidizi katika Chuo Kikuu cha Tumaini mkoani Iringa na amewahi kuwa mwalimu katika shule mbalimbali.
Naona wametuletea Malima huu mji kasoro
Wanamtambia nani?Unaonaje wateule wa dhalimu wako wanavyotamba?
Mambo ya Mresh!! Mresh!!!Nasubiri comedy Kutoka kwa muheshy wa Dasilamu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Eeh ndio , mbona pambee [emoji2][emoji2]
Mambo ya kutoa Mlango na kuweka pazia[emoji28]Kwahio Chalamila ndio ataongea na wadau wa Kariakoo
Nakazia[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Mtaka haeleweki halafu ni much know.
Yule Simiyu alitosha sababu ulikuwa Mkoa Mpya...Dodoma tu ilimshinda akaishia kupambana na mawaziri
Wapo hawapewi nafasi....Sura ni zile zile, hivi hamna watu wengine????