voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Kwani katiba iliyopo inaruhusu ufisadi?... mkiambiwa inahitajika Katiba yenye nguvu sio tu kurudisha nguvu kwa wananchi lakini pia ku-regulate madaraka ya watawala hua mnajitoa ufahamu kuelewa; hiyo ndio maana yake! Kwa Katiba hii siku likizuka dikteta la ukweli ndio mtajua hamjui and will be too late.
Chadema mnayo katiba mpya lakini mbona Mbowe anamiliki hisa 88% za chama,na anapiga pesa na kulamba asali live?