Kazi ya RC si kufanya maajabu ni kusimamia maelekezo ya RaisHili ndilo analoliweza Bi Maza! Chalamila atafanya maajabu gani kwa wafanyabiashara!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya RC si kufanya maajabu ni kusimamia maelekezo ya RaisHili ndilo analoliweza Bi Maza! Chalamila atafanya maajabu gani kwa wafanyabiashara!!
Chalamila kaja DSM tuinjoi mbwembwe zake
Huo Mkoa si ndio mlimuibia AK 47 zake ?naona wametuletea Malima huu mji kasoro
Chizi kapewa rungu...🤣🤣Chalamila Dar?!
Hutaki, hupendi au huamini?Chalamila? Seriously??
Mzee Makamba kilichomsaidia kwny zama zake ni zile porojoChalamila ana uwezo wa kuongoza, tatizo ni zile drama zake
Arudi kwa taratibu tu, afanye kaziHuo Mkoa si ndio mlimuibia AK 47 zake ?
Yaani nikutafuta sehemu moja unaweka makao yakudumu kama hauna watoto wadogo nikuhama mke na Mme basi kazi yakuzunguka nchi tuWatumishi hongereni pia poleni hii hama hama sijui huwa mnahandle vipi mkiwa pamoja na familia kila siku
Jamaa analiweza jiji.Chalamila kaja DSM tuinjoi mbwembwe zake
Ulitaka aje nani?Hili ndilo analoliweza Bi Maza! Chalamila atafanya maajabu gani kwa wafanyabiashara!!
Uko kama mimiIla Makala huwa namuona kama mbabaishaji fulani hivi...
Sasa mambo ya kariakoo yanahusiana zaidi na mambo ya kikodi(TRA) hapo mkuu wa mkoa anafanyaje?wao wana kwambia hizo ni siasa tu sisi tunafanya kazi kwa mujibu wa sheria,na waziri anawasifia kwa wanachofanya hapo RC unafanya nini?Nadhan ishu ya kariakoo imemkimbiza town