OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Eti Chalamila RC Dar, kweli CCM imeishiwa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania mtu yoyote anaweza uongozi tu hata binti wa chekechea usishangae chalamila. Mbona Jiwe aliweza urais na mambo yakaenda tu?Chalamila? Seriously??
mipicha mbona haifunguki saiv jamn au kwang tu
Very arrogant fella...nashangaa mpaka leo eti ni RC ....jamaa alimnanga Waziri Ndalichako wakati yuko Elimu...na kuwananga viongozi na hakuchukuliwa hatua yoyote....Waganga wa jadi ndio tatizo...wanawasaidia sana kupata teuzi na kuzi-maintain.,..Dodoma tu ilimshinda akaishia kupambana na mawaziri
Ni kuhamishwa kwa malipoWatumishi hongereni pia poleni hii hama hama sijui huwa mnahandle vipi mkiwa pamoja na familia kila siku
Hehh!¡!!!!!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo:
1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
3. Bi Fatma Abubakar Mwassa amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
4. Bw. Albert John Chalamila amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Uhamisho huu wa Wakuu wa Mikoa unaanza mara moja.
View attachment 2623197
Haijalishi yupo nani, tatizo halimgusi RC moja kwa moja.
Hama hama hio naona inachosha kwangu mimi hata kama kuna malipoNi kuhamishwa kwa malipo
Mzee wa flames ...Amekaa kama dalali hivi
Nakubaliana nawe, ila kama alieondoka hakuwa akisimamia maagizo ya Raisi, hafai kupewa mkoa mwengine. Alitakiwa apishe wengine.kazi ya RC si kufanya maajabu ni kusimamia maelekezo ya Rais
Huyo atawatia mboko wakome.Hili ndilo analoliweza Bi Maza! Chalamila atafanya maajabu gani kwa wafanyabiashara!!