UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar
Ila hii nchi tunaongozwa na watu wenye akili za kawaiiida sana...yaani raia wapo smart kuliko viongozi sijui ilikuwaje kuwaje!.
Waganga wa kienyeji at work..tatizo la nchi hii sio katiba ,ccm wala nini....ni Waganga wa kienyeji.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo:

1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

3. Bi Fatma Abubakar Mwassa amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.

4. Bw. Albert John Chalamila amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

Uhamisho huu wa Wakuu wa Mikoa unaanza mara moja.
View attachment 2623197
Nilijua tu Kariakoo crisis Lazima isababishe substitution
 
Haya ndiyo madhara ya uongozi shavu badala ya majukumu. Amos Makalla ameshajichokea, hata iweje hawezi kuja na jipya lolote, Fatma Mwasa vilevile, na Chalamila ana kitu fulani lakini he is more a Joker.
 
Tra wanakuwa katika wakat mgum sana
Katika kutekeza majukumu yao watakuwa wanafanya kazi kwa kwa uoga Sana ushauri tu Kama selikani hizo Sheria bunge
Wafanye mabadiliko ya Sheria za Kodi zinazolalamikiwa na wakiona selikali tra si chochote waifute isiwepo ikishaanza ingiza Mambo yenu ya siasa mlipwa posho huko bungeni mkawa mnapitish Sheria kifungu kwa kifungu tatisi tra itakeleza majuku yake sio.ya ccm ni watanzia nyinyi Kama selikali mnaanza kuwagopesha tra Tena kwani rushwa kwa mafsa wa tra tu pesa zipigwa kila siku ?
 
Screenshot_20230515-225455.jpg
 
Back
Top Bottom