Inawezekana.Huenda akawa anaaga mashindano mdogo mdogo.
Hajakosea, yeye na Amos Makalla watapangiwa kazi nyingineMongela kakosea nin tena chuga
Yale malalamiko ya wananchi nani atawatetea tenaZile Ziara zote Nchi nzima na majivuno yoote haya ndio Matunda yake?
Hata miezi mitatu bado.
Mmh..! Hatakama ni kushushwa Cheo sio Kwa kumleta mjomba Arusha bhana, ila yetu macho...😂😂 Watu wa Arusha kazi tunayo
Punda unaweza kumlazimisha kwenda mtoni2025 hio kaskazini ya kijani
Wananchi watoa machozi ya furaha kubwa kwa teuzi hizi.Umeambulia patupu pamoja na pambio zote za kichawa ulizojaza humu JF bado wanakupita kama huonekani keki wanagawana wao kwa wao pole sana.
Atamleta Salaah wa Gsm kula nyamachoma kw MrombooSijui Lema ataongea nini??🤣
[emoji23][emoji23][emoji23] uso wa mbuzi...Kiukweli katika waimbaji wote wa zile Pambio huyu Joyce Ndalichako sikuwahi msikia kabisa!! Ukijumlisha na uprofesa na ni mwanamke hahahaha!
Kuna mikoa huwezi kufanya huo upuuzi, ajaribu aone, KUZIMU itakua inamuita mdogomdogoCombo yake na Sabaya mjiandae
Hakuna waziri ambaye anashughulikia mkoa mmoja, acha kujifarijiWanagawana tu. Mkuu wa Mkoa ni cheo sawa na Waziri.
Unaleta jibu la kipumbavu sana; mimi nijifariji kwa kitu gani hapa.Hakuna waziri ambaye anashughulikia mkoa mmoja, acha kujifariji