moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Inawezekana.Huenda akawa anaaga mashindano mdogo mdogo.
Na kama atalitambua hilo anaweza kurudi Dar kubahatisha kugombea ubunge.
Hilo linaweza kumrudisha benchi hasa ikitokea kushindwa ubunge.