Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Kiukweli katika waimbaji wote wa zile Pambio huyu Joyce Ndalichako sikuwahi msikia kabisa!! Ukijumlisha na uprofesa na ni mwanamke hahahaha!
[emoji23][emoji23][emoji23] uso wa mbuzi...
Upande wa pili ukaona heee mbona hajawahi kunisfia , mim nasifiwa bwana !! [emoji23] Akaanguka wino kwenye pdf.
 
Hakuna waziri ambaye anashughulikia mkoa mmoja, acha kujifariji
Unaleta jibu la kipumbavu sana; mimi nijifariji kwa kitu gani hapa.

Soma Katiba ujue muundo wa serikali ya Tanzania na kama hujui basi uulize ufahamishwe. Elewa kuwa Balozi, Mkuu wa Mkoa na Waziri wako katika level moja serikalini.

Hata naibu waziri anasimamia wizara sehemu yote ya nchi siyo mkoa mmja, lakini naibu waziri yuko cheo cha chini kwa mkuu wa mkoa. Ni vivyo hivyo huko mawizarani kuna wakurugenzi wanasomimai kurgenzi zao nchi nzima lakini hwako lev moja na mkuu wa mkoa.

Inawezekana wewe ni mmoja wa wasiolelewa mipaka ya madaraka unadhani ni kufuatana na ukubwa wa ardhi lililo chini yako,
 
Ulikuwa unachezea timu ya wakubwa katika nafasi ya golikipa unawafokea wachezaji wenzako kwamba hawafanyi kazi, mara unapelekwa timu ya under 18.

Hujakaa sawa unaona kuna goalkeeper anapasha nje.
 
Wakati sisi tunaangalia mpira,Mh yeye anafanya kazi.Hongera sana.
Ila naona k
Kama akitaka kuhutubia taifa hutumia hii
Ki kipindi cha uapisho,asiwe aatabilika,afanye kama Jk Kuongea na wazee wa mkoa fulani,au Mkapa,hotuba za kis mwezi, au JPM Kwenye uteuzi au uzinduzi.
 
Back
Top Bottom