Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Maandalizi ya 2025 yameanza Rasmi. Hofu ya mama ni kaskazini ilipo ngome ya Chadema. Dawa ya wanasiasa wabishi ni mwanasiasa mbishi Makonda.

Karata zinaendelea kuchangwa, Lema tayari kapata dawa yake.

Tuendelee kuimba anaupiga mwingi kwa sauti ya Mbowe
John Mongella kuwa katibu mwenezi, gambo Hana lake tena Arusha jiji
 
48 lawas of power:
Law 1: Never Outshine the Master: Ensure that those above you always feel superior. Go out of your way to make your bosses look better and feel smarter than anyone else. Everyone is insecure, but an insecure boss can retaliate more strongly than others can.
Kwa hiyo na wewe unaifuata hiyo Law kwa mabosi zako??
 
Kwa hiyo na wewe unaifuata hiyo Law kwa mabosi zako??
Bahati mbaya boss wangu ni shamba langu!! So mbolea ndo shukrani kwa shamba langu.... Rais ni breadwinner wa anaowapa kazi!!

Zile kauli za Makonda ooh Magufuli asitenganishwe na Samia sisi wazee wa administration theories tulijua hatafika mbali... Ndalichako naye alikua nyuma sana kwenye kumsifia her Majesty!!

Huwezi kunyqmqza hata kumtupia tusifa twilight tutatu aliyekupa uwaziri aisee!!
 
Back
Top Bottom