Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mlipoambiwa mgombea binafsi na tume huru mlituona wajinga Sasa unadhani kwa tume hii huyo Mpina akigombea kupitia upinzani atashinda? Acheni mihemko huyo Mpina nakuhakikishia ataenda ikulu kuomba msamaha kama Ndugai ndio mtaelewa kwamba Mpina Ni nzi tu huko CCM
CAG keshatoa Maoni yake !!Acha kelele twambie kwanza pesa ya please bargaining ipo wàpi? Unamtisha nani sasa?
Then Why bother kumpeleka Cuba kama lengo ni kumpoteza, si bora kutomteua kabisa kama Makonda?Anapotezwa kwakupelekwa Cuba, unajua vizuri mahusiano ya Cuba na Tanzania au umezaliwa juzi?
Operation KATAA WAHUNI !!Tuliosomea Cuba tunaelewewa.
Mr pole pole kapelekwa mbali na Tz kusudi kuvuruga zile movements zake za chini chini.
Maana ilikuwa haipiti mwezi bila kuja Tz.
Next stage watamla kichwa kabla ya 25.
Japo, hii itakuwa risk kwa SSH.
Maana watamrahisishia mipango yake.
Charles KitwangaHivi nani kawadanganya TISS wote Wana kauli moja? Hata huko Kuna power struggles.... na sio TISS tu hata CIA au FBI Kuna kupishana strategy, uasi, usaliti, kutupwa nje ya mfumo n.k otherwise kina Marando au Mrema wasinge fall out or rather Seif asingekosana na establishment.
The guy is actually smart. I believe is not burried. We will be witnessing his marks.Mama alijua kumpeleka POLEPOLE MALAWI ni kumuua kisiasa … jamaa akaitumia fursa vizuri mara makongamano, mara kufanya interviews kuhusu fursa Malawi , wakulungwa wakaliona hili wakamtonya HUYU PELEKA MBAAAALI KABISAAAAA
Wacha akafaidi [emoji3][emoji3]Mwamba ana enda kula pisi za cuba
Sasa huko Cuba, huyo pole pole hawezi kuja kila mwezi? Hela si ipo au??Tuliosomea Cuba tunaelewewa.
Mr pole pole kapelekwa mbali na Tz kusudi kuvuruga zile movements zake za chini chini.
Maana ilikuwa haipiti mwezi bila kuja Tz.
Next stage watamla kichwa kabla ya 25.
Japo, hii itakuwa risk kwa SSH.
Maana watamrahisishia mipango yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama alijua kumpeleka POLEPOLE MALAWI ni kumuua kisiasa … jamaa akaitumia fursa vizuri mara makongamano, mara kufanya interviews kuhusu fursa Malawi , wakulungwa wakaliona hili wakamtonya HUYU PELEKA MBAAAALI KABISAAAAA
Hao ni "threat" kwa wale potential.Ni namna ya mfumo kulinda some potentials. Nchimbi na Polepole ni mfano wa watu ambao ni kama wanawekwa mbali na internal politics [emoji58]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Nawakumbuka wazee Uledi na Juma Dihule walikuwa na shehena ya kutosha ya zile sigara kubwa za "Cigar" walisema kuna sehemu walikuwa wakitaka waziagiza kutoka kiwandani Santiago de Cuba.Tena sio kusoma Cuba tu, tuliosomea Cuba miaka ya 1960-70😆😆😆
Ukubwa wa Cuba upo kwenye nini? Idadi ya watu ni milioni 11. Ukubwa wa eneo la nchi square kilometer 110,000. Ni kama moja ya 9 ya Tanzania. GDP dola 107 bilioni, chini kuliko GDP ya Kenya.Balozi Humphrey Herson Polepole amehamishiwa nchi kubwa ya Cuba.
Balozi anaimarishwa kiitikadi kwa malengo mapana ya muda mrefu ujao.
Nadhani anaenda kuweka rekodi nyingine mpya kiutendaji.
Pia kuomba serikali za Tanzania na Cuba kuweka makubalino ya kuwaleta wahadhiri wa Cuba na madaktari kutoa utaalam wao hapa hapa Tanzania.Aiombe serikali ya Cuba sasa wapelekwe vijana wakasomee tabibu maana wako vizuri sana huko
Kazi ya Mabalozi sio kutoa visa tu kama wengine wanavyojua
Polepole wasaidie vijana wapate ajira kubwa kubwa