UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

Mpina ni Mwana CCM ,hawez gombea kupitia Upinzani .
Mlipoambiwa mgombea binafsi na tume huru mlituona wajinga Sasa unadhani kwa tume hii huyo Mpina akigombea kupitia upinzani atashinda? Acheni mihemko huyo Mpina nakuhakikishia ataenda ikulu kuomba msamaha kama Ndugai ndio mtaelewa kwamba Mpina Ni nzi tu huko CCM
 
Anapotezwa kwakupelekwa Cuba, unajua vizuri mahusiano ya Cuba na Tanzania au umezaliwa juzi?
Then Why bother kumpeleka Cuba kama lengo ni kumpoteza, si bora kutomteua kabisa kama Makonda?
 
Tuliosomea Cuba tunaelewewa.
Mr pole pole kapelekwa mbali na Tz kusudi kuvuruga zile movements zake za chini chini.

Maana ilikuwa haipiti mwezi bila kuja Tz.

Next stage watamla kichwa kabla ya 25.
Japo, hii itakuwa risk kwa SSH.
Maana watamrahisishia mipango yake.
Operation KATAA WAHUNI !!
 
Hivi nani kawadanganya TISS wote Wana kauli moja? Hata huko Kuna power struggles.... na sio TISS tu hata CIA au FBI Kuna kupishana strategy, uasi, usaliti, kutupwa nje ya mfumo n.k otherwise kina Marando au Mrema wasinge fall out or rather Seif asingekosana na establishment.
Charles Kitwanga
 
of all the countries, cuba?!...kha!,hapana aise, hiyo kwangu ni kama kafanyiwa demotion.

si huwa anajifanya mjamaa, sasa huko cuba atakutana na wajamaa pro max dadeki.

barabara zao mpaka leo zimejaa magari ya 1950s yaliyotengenezwa marekani.
inshort cuba ni north korea iliyochangamka.

akirudi nchini atakuwa tayari emerudi na knowledge ya kutosha kuhusu mziki wa salsa.


8d1T.gif


View attachment 2575642
 
Mama alijua kumpeleka POLEPOLE MALAWI ni kumuua kisiasa … jamaa akaitumia fursa vizuri mara makongamano, mara kufanya interviews kuhusu fursa Malawi , wakulungwa wakaliona hili wakamtonya HUYU PELEKA MBAAAALI KABISAAAAA
The guy is actually smart. I believe is not burried. We will be witnessing his marks.
 
Tuliosomea Cuba tunaelewewa.
Mr pole pole kapelekwa mbali na Tz kusudi kuvuruga zile movements zake za chini chini.

Maana ilikuwa haipiti mwezi bila kuja Tz.

Next stage watamla kichwa kabla ya 25.
Japo, hii itakuwa risk kwa SSH.
Maana watamrahisishia mipango yake.
Sasa huko Cuba, huyo pole pole hawezi kuja kila mwezi? Hela si ipo au??
 
Mama alijua kumpeleka POLEPOLE MALAWI ni kumuua kisiasa … jamaa akaitumia fursa vizuri mara makongamano, mara kufanya interviews kuhusu fursa Malawi , wakulungwa wakaliona hili wakamtonya HUYU PELEKA MBAAAALI KABISAAAAA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
polepole kuna wakuda walikua wanamhujumu sana

miezi kama miwili nyuma niligundua hilo
 
Tena sio kusoma Cuba tu, tuliosomea Cuba miaka ya 1960-70😆😆😆
Nawakumbuka wazee Uledi na Juma Dihule walikuwa na shehena ya kutosha ya zile sigara kubwa za "Cigar" walisema kuna sehemu walikuwa wakitaka waziagiza kutoka kiwandani Santiago de Cuba.
 
Balozi Humphrey Herson Polepole amehamishiwa nchi kubwa ya Cuba.

Balozi anaimarishwa kiitikadi kwa malengo mapana ya muda mrefu ujao.

Nadhani anaenda kuweka rekodi nyingine mpya kiutendaji.
Ukubwa wa Cuba upo kwenye nini? Idadi ya watu ni milioni 11. Ukubwa wa eneo la nchi square kilometer 110,000. Ni kama moja ya 9 ya Tanzania. GDP dola 107 bilioni, chini kuliko GDP ya Kenya.
 
Aiombe serikali ya Cuba sasa wapelekwe vijana wakasomee tabibu maana wako vizuri sana huko

Kazi ya Mabalozi sio kutoa visa tu kama wengine wanavyojua

Polepole wasaidie vijana wapate ajira kubwa kubwa
Pia kuomba serikali za Tanzania na Cuba kuweka makubalino ya kuwaleta wahadhiri wa Cuba na madaktari kutoa utaalam wao hapa hapa Tanzania.

Wakiletwa Tanzania tutaokoa gharama na pia huko Cuba sasa hivi wana madaktari wengi lakini Cuba ina upungufu mkubwa wa "medical supplies" za kutosha, hivyo ni bora watuletee madaktari wao.

Hata hivyo miaka ya nyuma tulikuwa na utaratibu huu hivyo inakuwa ni ku-reverse tu.
 
Back
Top Bottom