Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Ni kweli kabisa aisee hasa aya ya 1
 
Na wahindi je, na wao si walikuwa watumwa jameni?
 

it was slavery, then colonialism, and now we are letting economic slavery into the door. In the past, we could make the excuse that our forefathers and fathers were not in a position to know or do anything about it. We can’t say the same thing now that we don’t know what is going on.

We don’t want to mortgage the future of our children for a quick-fix economic solution.( Chika Onyeani)
 
Na wahindi je, na wao si walikuwa watumwa jameni?
Wahindi hawajawahi kuwa watumwa kwa utumwa ambao mwafrika alipitia, walikuwa makoloni tu ya watu wengine na bado hawakuwa na rank ya mtu mweusi aliyopewa

Asians popote walipokuwa walikuwa ni daraja la kati baina ya mwafrika na mzungu.

Hatuwezi kutumia mambo yaliyopita kwa karne kuhalalisha hali zetu lakini hatuwezi kuipuuza historia
 
Ni shida ya mfumo mzima mkuu

Ni sawa na kujifunza kwa nini wachaga wanapenda hela na wahaya wanapenda elimu

Kila kitu kina historical influence

Sema naamini ipo siku hii nchi itanyooka 😁
 
Adui wa mwafrica ni mwafrica mwenyewe, haya mengine kutafuta jumba bovu tu as always, wengine walitawaliwa na leo wamesonga mbele bila kuangalia scale ya utumwa sisi tumebaki tumelalama.
 
  • Black illusions of success are even translated to the kind of drinks we drink. Africans drink a lot of Heineken. They think drinking Heineken shows that they are successful. It is the drink of success. It is a status symbol to be seen drinking Heineken. We spend millions of dollars drinking Heineken. Heineken doesn’t give a damn. They don’t consider Blacks a market they should go after. They believe that whether they court that market or not, Blacks will always drink Heineken. It takes a great sweat to make a buck. In many cases, you have even been dehumanized as a Black in making that buck. Doesn’t it stand to reason that before you spend that money you would ensure that it is intelligently spent?
Quote from Capitalist Nigger-Chika Onyeani
 
Uko sahihi,
Wachina na Wakorea walitawaliwa na Wajapan ila leo wako kwenye level moja na Wakoloni wao.
Ukiangalia pia Singapore iliyotawaliwa na Waingereza leo ni nchi iliyoendelea kwa kiwango cha juu sana.
Adui wa mwafrica ni mwafrica mwenyewe, haya mengine kutafuta jumba bovu tu as always, wengine walitawaliwa na leo wamesonga mbele bila kuangalia scale ya utumwa sisi tumebaki tumelalama.
 
Cheki Obama, P. Diddy, Jay Z 🀠🀠 Ben
 
Hao weupe wamelelewa wamezikuta pesa na utajiri so kwao Hakuna kipya. Sisi wengi utajiri unakutana nao ukubwani baada ya kusota Sana ikiwemo kushinda njaa shuleni kilometa nyingi Sana.
Mwambie ila kwangu mie ningekuwa nazo hata mdudu hajui kwa maana hamna jipya
 
Hao weupe wamelelewa wamezikuta pesa na utajiri so kwao Hakuna kipya. Sisi wengi utajiri unakutana nao ukubwani baada ya kusota Sana ikiwemo kushinda njaa shuleni kilometa nyingi Sana.
So Who cares? Nonsense.

Watu wanataka kuona matokeo whether you come from the Royal family OR from the humble Beginning, nobody cares at the end of the day.

Watu wenye mindset kama yako nawaonaga wapumbafu mno.
Kwani mtu kutafuta utajiri kwa kusota ni dhambi? Na angekuwa ana pesa kwa kuwa kazaliwa kwenye familia tajiri bado mngesema ni hela za kurithi, losers will always be losers.
 
Soma mada uelewe Acha kudandia
 
Jamaa kaandika ukweli mtupu, ukiwa unabisha unazidi kuonesha jinsi akili zetu zilivyo duni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…