Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?

Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?

Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?

Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?

👇
Hijui kitu...utaumbuka.
 
Mbona mapato ya hizo rasilimali yanaongezeka ilhali unasema zinatoroshwa?

Utoroshaji wa walanguzi wa awamu ya 5 waliokuwa wakishirikiana na maofisa wa serikali umeumulika?

Mwisho wapi Waziri aliposema wametorosha? Yeye mwenyewe hana majibu,Rais akirudi amfukuze huyo Biteko.
kwani mapato hayawezi kuongezeka huku wizi pia wa madini ukiongezeka,Mkuu unaniangusha
 
Hakuna kipindi nchi hii kumefanyika wizi kama kipindi cha dhalimu, ilifikia mahali mpaka CAG hawapewi nafasi ya kukagua taarifa za fedha za miradi. Tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake wa 17 march.
Kujaribu kumchafua huyu mzee kwa vi hoja vyepesi namna hiyo ni kupoteza muda bro.
 
Nimecheka kwa nguvu, mfuate Kabudi akuambie hiyo Twiga mineral sisi kama nchi tunafaidika vipi. Ukiona profesa anaeleza mkataba ulivyo bila kueleweka vizuri, hapo ujue unatwanga maji kwenye kinu. Huenda mimi ndio sijaelewa alichosema Kabudi kwenye huo mkataba wa Twiga minerals. Hebu ww niambie Mkataba ukoje, na sisi kama nchi tunafaidika vipi na uwepo wa hiyo kampuni.
joka kuu haujarudi
👇
Screenshot_20220424-095023.jpg
 
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?

Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?

Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?

Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?

👇
KUTOROSHA NDIO VIPI?
Hivi si alinunua hilo jiwe?
Sasa kama TZ hakuna mnunuzi, si akauze neje kwenye soko?
Hivi watanzania tukoje sisi?
Mchimbaji ni Mtu binafsi,akipata jiwe anamuuzia mwnye pesa zake, Halafu Mnunuzi anahiari ya kuliiuza anapoona kuna maslahina yeye.
Serikali ilitakiwa imsaidie Mtanzania kupata Be nzuri popote duniani na waruhusu pesa yake iwekwe Bank bila Vikwazo na Mikingamo
 
Wewe mpemba nenda ukale kasa ufe. Wewe ni mwarabu sio mtanzania achana na habari za watanzania
 
Wewe mpemba nenda ukale kasa ufe. Wewe ni mwarabu sio mtanzania achana na habari za watanzania
Haha haha hahaa
Yaani Uarabu na Utanzania unatowa wewe?
Hiki ni Kioja kweli cha mwaka 2022.
Wewe hujui biashara,
Na wala hjui hayao Madini yanauzwa wapi na serikali inapataje Quarter yake .
Boswana wanachimba Madini,lakini husikii haya manenono ya Kijuha.
Tanzania ina makampuni kadhaa Makubwa ,yote yanachimba na kuondosha madini kwa ndege Binafsi, Inaonekana ni sawa.
Lkni akivuusha Madini Mtu binafsi ,tayari Mbwa wanabweka.
Hivi huoni wewe kuwa Wachimbaji wadogo na wanunuzi Binafsi wanasaidia kukuza Mitaji ya Raia Moja kwa moja na kutengeneza matajiri Mitaani na Kuongeza mzubguko wa pesa usio rasmi hatimae Maisha yakwenda kuwa mepesi kwa wengine?
Umelala wewe.
Mtwana usiyejijua na usiye juwa HAKI YAKO.
 
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?

Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?

Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?

Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?

👇
Wizi umerejea rasmi tena waziwazi na dealer wa tembo yupo madarakani tayari
 
Back
Top Bottom