Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wala rushwa wakubwa ni hawa viongozi, mwaka jana zilipigwa pesa pale hazina Waziri Mkuu akaunda tume mpaka leo kimyaRushwa inaanzia juu kuja chini, sio chini kwenda juu, tunachokiona huku chini kuhusu rushwa ni picha kamili iliopo huko juu.