Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

Hijui kitu...utaumbuka.
 
kwani mapato hayawezi kuongezeka huku wizi pia wa madini ukiongezeka,Mkuu unaniangusha
 
Hakuna kipindi nchi hii kumefanyika wizi kama kipindi cha dhalimu, ilifikia mahali mpaka CAG hawapewi nafasi ya kukagua taarifa za fedha za miradi. Tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake wa 17 march.
Kujaribu kumchafua huyu mzee kwa vi hoja vyepesi namna hiyo ni kupoteza muda bro.
 
joka kuu haujarudi
πŸ‘‡
 
KUTOROSHA NDIO VIPI?
Hivi si alinunua hilo jiwe?
Sasa kama TZ hakuna mnunuzi, si akauze neje kwenye soko?
Hivi watanzania tukoje sisi?
Mchimbaji ni Mtu binafsi,akipata jiwe anamuuzia mwnye pesa zake, Halafu Mnunuzi anahiari ya kuliiuza anapoona kuna maslahina yeye.
Serikali ilitakiwa imsaidie Mtanzania kupata Be nzuri popote duniani na waruhusu pesa yake iwekwe Bank bila Vikwazo na Mikingamo
 
Wewe mpemba nenda ukale kasa ufe. Wewe ni mwarabu sio mtanzania achana na habari za watanzania
 
Wewe mpemba nenda ukale kasa ufe. Wewe ni mwarabu sio mtanzania achana na habari za watanzania
Haha haha hahaa
Yaani Uarabu na Utanzania unatowa wewe?
Hiki ni Kioja kweli cha mwaka 2022.
Wewe hujui biashara,
Na wala hjui hayao Madini yanauzwa wapi na serikali inapataje Quarter yake .
Boswana wanachimba Madini,lakini husikii haya manenono ya Kijuha.
Tanzania ina makampuni kadhaa Makubwa ,yote yanachimba na kuondosha madini kwa ndege Binafsi, Inaonekana ni sawa.
Lkni akivuusha Madini Mtu binafsi ,tayari Mbwa wanabweka.
Hivi huoni wewe kuwa Wachimbaji wadogo na wanunuzi Binafsi wanasaidia kukuza Mitaji ya Raia Moja kwa moja na kutengeneza matajiri Mitaani na Kuongeza mzubguko wa pesa usio rasmi hatimae Maisha yakwenda kuwa mepesi kwa wengine?
Umelala wewe.
Mtwana usiyejijua na usiye juwa HAKI YAKO.
 
Wizi umerejea rasmi tena waziwazi na dealer wa tembo yupo madarakani tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…