Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

Shetani Amekinai Damu anataka ladha ya Nyama nw! Km mjuavyo nyama binaadamu ilivyo tamu,Tujiandae kisaikolojia...Yajayo yanahuzunisha!
 
Uzi una picha.

Nimesikitika sana kitendo cha Waafrika wenzetu tuliowapambania kipindi cha kumtoa mkoloni Leo hii wanauza vidole vyao vya mguu kwa wazungu tena kwa bei nafuu ya USD 7000 mpaka 10000.

Dole gumba ni $7000
Kidole cha Kati cha mguu ni $9000
Nakidole kidogo cha mguu ni $10000.

Swali langu ni kuwa kwani hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi? Kwanini wasiwakate huko kwao mpaka waje kwetu Afrika lakini. Au ndokulipiza hasira kwa alichowafanyia Mugabe Gabriel kuwapora Ardhi. Yani Kuna mambo Waafrika tunakuwa treated kama Mavi vile maana ukienda Dubai Dada zetu wanalishwa kinyesi ukija Africa tunakatwa vidole sasa sijui nini Kosa letu mpaka watufanyie hivi.

Yani kwa siku wazimbabwe zaidi ya buku tatu wanakatwa vidole vya mguu sasa hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi. Serikali iingilie Kati maana Kuna watu watataka wauze vyote.

View attachment 2248380View attachment 2248381

Kama ushoga na madada poa mnasema ni haki ya mtu kutumia mwili wake bas hata wauza vidole waacheni maana ni haki yao kuuza vidole vyao
 
Yaani hapo mguu mmoja tu ukaamua uvitoe vidole vyako vyote si chini ya shilingi milioni 100 ,hela iyo ni zaidi ya Penseni ya mwanajeshi tena hapo kashatumikia nchi si chini ya miaka 30,
Umewahi kuona hizo penseni kwa wanajeshi ?
 
Uzi una picha.

Nimesikitika sana kitendo cha Waafrika wenzetu tuliowapambania kipindi cha kumtoa mkoloni Leo hii wanauza vidole vyao vya mguu kwa wazungu tena kwa bei nafuu ya USD 7000 mpaka 10000.

Dole gumba ni $7000
Kidole cha Kati cha mguu ni $9000
Nakidole kidogo cha mguu ni $10000.

Swali langu ni kuwa kwani hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi? Kwanini wasiwakate huko kwao mpaka waje kwetu Afrika lakini. Au ndokulipiza hasira kwa alichowafanyia Mugabe Gabriel kuwapora Ardhi. Yani Kuna mambo Waafrika tunakuwa treated kama Mavi vile maana ukienda Dubai Dada zetu wanalishwa kinyesi ukija Africa tunakatwa vidole sasa sijui nini Kosa letu mpaka watufanyie hivi.

Yani kwa siku wazimbabwe zaidi ya buku tatu wanakatwa vidole vya mguu sasa hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi. Serikali iingilie Kati maana Kuna watu watataka wauze vyote.

View attachment 2248380View attachment 2248381
Jmn haya mambo[emoji848]
 
Kwa akili zao zilivyo finyu wanadhani wamekosa hela kwa sababu hela hazipo kumbe ni kwa sababu hawajui kutafuta hela, kama hivyo ndivyo ilivyo watakatwa hivyo videlo vyao watapewa pesa baada ya muda mfupi watamaliza na kurudi kwenye umasikini wao wa asili huku wakiwa na vidole pungufu.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Yeah sure
 
Mambo mengine kutiana majaribuni tu[emoji16][emoji16][emoji16].

Hivi toka unazaliwa umeshawahi kuona kazi ya kidole gumba cha mguuni kweli!!!mkononi ni kutype ktk smartphone[emoji23]
Kazi yake kujigonga kwenye kona za meza na kitanda tu[emoji28]
 
Wengi tumewahi kusikia kuhusu stories kwamba katika baadhi ya Nchi za Ulaya na Asia kwamba figo ni deal, vijana wanauza Figo na kutajirika
Lakini Huko Zimbabwe, vijana wanauza vidole vya Miguu ambapo kidole kimoja kikubwa (kidole gumba) kinafika mpaka USD 40,000, hii nimeona huko Twitter zaidi ya videos tatu vijana wa Zimbabwe wanakatwa vidole na kukabidhiwa gari ama pesa
Nimeshindwa kudownload videos kutokana Twitter hivo naweka screenshot
Hiyo pisi apo imekata kidole bure tu[emoji37], ingedanga kidogo tu ingepata hiyo ndinga
 
Ila nahs kama n mambo ya ushirikina hata hizo fedha zinarud tuu kwao kimazingara [emoji23]
Unawaambia wakuwekee hela kupitia bank,halafu iyo hela ikishaingia unaiweka fixed japo kwa miezi 6
 
Back
Top Bottom