Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa bodaboda kila siku wanapotza viungo for nothing wakija huku foleni ipangwe barabara ya mwendo kasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa bodaboda kila siku wanapotza viungo for nothing wakija huku foleni ipangwe barabara ya mwendo kasi
Sawa baki hivo hivo
Ni masihara kweli, akili ya kuambiwa changanya na zako.Nilijua masihara kumbe wapo live
Kwani watu wanaouzaga viungo vya binadamu mchwari huwa hawazioniNi masihara kweli, akili ya kuambiwa changanya na zako.
Hivi kweli mtu anunue kidole kwa USD 7,000 Kwanini asieende mochwari akachukue vya bure?
Au hao wanunuzi wanafamyia nini?
Mm nimeshapata passport wewe subr nije nikiwa Tajiri
Tena wakija TANZANIA hata miguu yote watu watatoa.Kama tu wapo tayari kutoa figo nini vidole.Tatizo pia umaskini wetu waafrica ndio unaochangia sana mpaka hao wazungu wanatuona kama sisi hatustaili kuishi dunia hii,dollar elfu 7 kwa pesa ya kibongo ni sawa na milioni 16,kwa mtu akisikia ivyo kwake ni fursa kubwa sana
Tena wao ndo wataishiwa hela za kununua na sio kuisha vidoleHapa bongo mateja watauza vidole mpaka vitaisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikuulize swali dogo tu.Kwani watu wanaouzaga viungo vya binadamu mchwari huwa hawazioni
Kubaya sanaDunia inakoelekea[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
NitajuajeNikuulize swali dogo tu.
Wanunuzi wanafanyia nini hivyo vidole vya Bei mbaya?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tena wao ndo wataishiwa hela za kununua na sio kuisha vidole
Utaishi je Sasa kama vidole vyote umeuza. Sutaonekana una ukoma na mademu watakukimbia kwanzaTena wakija TANZANIA hata miguu yote watu watatoa.Kama tu wapo tayari kutoa figo nini vidole.
Vidole 10 dollar elf 70 x 2300 milioni 160 hapa unapata nyumba, usafiri na biashara plus watoto school bus.
Mswahili hata roho ingeuzwa angeuza
Hata kama lakini kisheria haitakiwiMtoa mada hao watu wanakatwa kwa lazima, hao dada wanalazimishwa kula kinyesi?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ni laki tatu tuHivi nauli ya kwenda zimbabwe ni bei gani