Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Jaribu kumpa Roho, Huyo hatakusahauKidole tu dola elfu kumi?
Mimi kuna binti wa mtu nimempa moyo, na bado hajaridhika. Dunia haiko fair!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kumpa Roho, Huyo hatakusahauKidole tu dola elfu kumi?
Mimi kuna binti wa mtu nimempa moyo, na bado hajaridhika. Dunia haiko fair!
Wanaenda kulinganisha na vya sokwe pamoja na Wanyama wengine ili wajue sisi ni Binadamu au viumbe vingineUzi una picha.
Nimesikitika sana kitendo cha Waafrika wenzetu tuliowapambania kipindi cha kumtoa mkoloni Leo hii wanauza vidole vyao vya mguu kwa wazungu tena kwa bei nafuu ya USD 7000 mpaka 10000.
Dole gumba ni $7000
Kidole cha Kati cha mguu ni $9000
Nakidole kidogo cha mguu ni $10000.
Swali langu ni kuwa kwani hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi? Kwanini wasiwakate huko kwao mpaka waje kwetu Afrika lakini. Au ndokulipiza hasira kwa alichowafanyia Mugabe Gabriel kuwapora Ardhi. Yani Kuna mambo Waafrika tunakuwa treated kama Mavi vile maana ukienda Dubai Dada zetu wanalishwa kinyesi ukija Africa tunakatwa vidole sasa sijui nini Kosa letu mpaka watufanyie hivi.
Yani kwa siku wazimbabwe zaidi ya buku tatu wanakatwa vidole vya mguu sasa hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi. Serikali iingilie Kati maana Kuna watu watataka wauze vyote.
View attachment 2248380View attachment 2248381
Naomb nikujibu japo haujaniuliza mimi, kwa asilimia kubwa kama ni kweli hivyo vidole vinauzwa maana yake lazima kuna connection na mambo ya kishirikina( ufreemason), kwa hiyo pale damu inatoka na kile kidole vinaenda kwenye mzimu/majini ambayo wahusika watapata utajili mara dufu maana wanakua wametimiza madhart.Nikuulize swali dogo tu.
Wanunuzi wanafanyia nini hivyo vidole vya Bei mbaya?
Vipi mzee unataka ukatoe vyote?Mambo mengine kutiana majaribuni tu[emoji16][emoji16][emoji16].
Hivi toka unazaliwa umeshawahi kuona kazi ya kidole gumba cha mguuni kweli!!!mkononi ni kutype ktk smartphone[emoji23]
Well spokenNaomb nikujibu japo haujaniuliza mimi, kwa asilimia kubwa kama ni kweli hivyo vidole vinauzwa maana yake lazima kuna connection na mambo ya kishirikina( ufreemason), kwa hiyo pale damu inatoka na kile kidole vinaenda kwenye mzimu/majini ambayo wahusika watapata utajili mara dufu maana wanakua wametimiza madhart.
Hujawahi sikia mtu anatafuta pesa ya zaman tena anainunua kwa pesa mingi, au mtu anatafuta matiti ya mwanamke anakod watu waue yeye apewe saa nyingin zike ishu za maalbino.
Kweny ushirikin vidole vina faida.!
Hiyo sio Muhimu, Muhimu kujua ukipata pesa utazitumia kwa kazi ganieeeh! Vinatumika kwa kazi gani
yaani nimewaza wakija bongo halafu nikajikuta nimecheka kwa nguvu sana,maana kuna kapicha ka msururu kama kale kwa babu wa loliondo kamenijiaVipi mzee unataka ukatoe vyote?
Nimecheka aseeMambo mengine kutiana majaribuni tu[emoji16][emoji16][emoji16].
Hivi toka unazaliwa umeshawahi kuona kazi ya kidole gumba cha mguuni kweli!!!mkononi ni kutype ktk smartphone[emoji23]
Una katwa kidole kwa kuoneshwa funguo, bila ata kuona kadi za gari this is shit
Sio kweli ingekuwa hivyo basi wanaobett wasingejengaHizo Mali wanazopewa zitapotea pia..
Easy come, Easy Go