Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

Mtoa Mada hii Ni hela nyingi Sana
Yaani hapo mguu mmoja tu ukaamua uvitoe vidole vyako vyote si chini ya shilingi milioni 100 ,hela iyo ni zaidi ya Penseni ya mwanajeshi tena hapo kashatumikia nchi si chini ya miaka 30,
 
Yaani hapo mguu mmoja tu ukaamua uvitoe vidole vyako vyote si chini ya shilingi milioni 100 ,hela iyo ni zaidi ya Penseni ya mwanajeshi tena hapo kashatumikia nchi si chini ya miaka 30,
Vyote hapana utateseka, viwili tu vinatosha
 
wanalazimishwa au hiari yao?
 
Kwa nilivosikia, ntasahihishwa kama nakosea. Kuna duka la biashara hiyo, japo no biashara haramu. Na wanaonunua sio wazungu, bali ni waafrica kama sisi ambao ni waganga wa kienyeji. Hao ndo wateja wa vidole. Though hapo hapo inasemekana ni uzushi na utani kuhusu hii biashara. Hao jamaa kwenye hilo duka ndo wamesema walipost online kama utani lakini ikashika kasi twitter.
Ushahidi zaidi unahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…