Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 395
- 357
Unataka kufaham nn mkuu?Feedback?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kufaham nn mkuu?Feedback?
CCM hawana jema, kila kona ni upigaji tuMpaka Leo hii Halmashauri zenye viwanja Tz nzima hazizidi 5
www.instagram.com
Mbona karibia vitu vyote ulivouliza majibu yake utayapata kwenye tangazo lenyewe. Kwanza kuna ramani unaweza kuangalia umbali hadi barabarani, km huduma za kijamii zipo, malipo unapewa control number unalipa within 90/120/180 daysHatukatai ni mfumo mzuri wa uuzaji ila sasa unanunua hicho kiwanja,je umefika hapo mahala kilipo kiwanja,unafahamu huduma za kijamii zilizopo,umbali kati ya eneo husika na barabara kuu unaufahamu,na malipo yake yakoje?
Sisi wenye makampuni binafsi tunakuhakikishia uhakika na usalama wa pesa yako au hamtuamini wenye kampuni binafsi.
Basi wala usipate tabu ungana nasi.
Habari ndugu mtanzania mwenzangu.
Tunakukaribisha sana katika uwekezaji kwenye idara ya ardhi.
Sisi PMG AND ASSOCIATE COMPANY LIMITED tunajihusisha na shughuli mbalimbali kama :-
👉🏿Uuzaji wa viwanja na mashamba
👉🏿Upimaji wa ardhi
👉🏿Ubunifu na usimamizi wa majengo
👉🏿Urasimishaji
Na kwa maeneo yenye viwanja na mashamba ni kama yafuatayo:-
👉🏿Kingani beach-Bagamoyo mjini
👉🏿Kigongoni-Magereza bagomoyo
👉🏿Makurunge-Mkabala na razaba
👉🏿Mbwawa new residence-Mbwawa(kibaha mjini)
👉🏿Changwahela beach plots-Zinga
Tunakukaribisha sana huduma zetu ni bora na nafuu sana
Tunapatikana BAGAMOYO MJINI - Plot no 371,Block N ,Majengo
📍See my real-time location on Google Maps!
Kwa mawasilino zaidi waweza kutupigia simu ama message whatsapp
☎️0674376678
Au tufatilie kwenye mtandao wa kijamii wa instagram
Karibuni sana.Login • Instagram
Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world.www.instagram.com
naona wewe hata mfumo wa atausi haujui unafanyaje kazi..Hatukatai ni mfumo mzuri wa uuzaji ila sasa unanunua hicho kiwanja,je umefika hapo mahala kilipo kiwanja,unafahamu huduma za kijamii zilizopo,umbali kati ya eneo husika na barabara kuu unaufahamu,na malipo yake yakoje?
Sisi wenye makampuni binafsi tunakuhakikishia uhakika na usalama wa pesa yako au hamtuamini wenye kampuni binafsi.
Basi wala usipate tabu ungana nasi.
Habari ndugu mtanzania mwenzangu.
Tunakukaribisha sana katika uwekezaji kwenye idara ya ardhi.
Sisi PMG AND ASSOCIATE COMPANY LIMITED tunajihusisha na shughuli mbalimbali kama :-
👉🏿Uuzaji wa viwanja na mashamba
👉🏿Upimaji wa ardhi
👉🏿Ubunifu na usimamizi wa majengo
👉🏿Urasimishaji
Na kwa maeneo yenye viwanja na mashamba ni kama yafuatayo:-
👉🏿Kingani beach-Bagamoyo mjini
👉🏿Kigongoni-Magereza bagomoyo
👉🏿Makurunge-Mkabala na razaba
👉🏿Mbwawa new residence-Mbwawa(kibaha mjini)
👉🏿Changwahela beach plots-Zinga
Tunakukaribisha sana huduma zetu ni bora na nafuu sana
Tunapatikana BAGAMOYO MJINI - Plot no 371,Block N ,Majengo
📍See my real-time location on Google Maps!
Kwa mawasilino zaidi waweza kutupigia simu ama message whatsapp
☎️0674376678
Au tufatilie kwenye mtandao wa kijamii wa instagram
Karibuni sana.Login • Instagram
Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world.www.instagram.com
Kwa Bagamoyo niliwauliza wakasema ukishalipia kiwanja unaenda wanakupa form ujaze uende ofisi za ardhi kuomba hati. Sijajua halmashauri zingine wana utaratibu upiKuna mtu kashapata hati au yuko kwenye process hiyo? Ni lazima uendee huko halmashauri husika?
Ohoo… sasa unaishi Dar, unanunua kiwanja Bukoba online, ukishalipia usafiri tena kuchukua form ya hati? Wangemaliza kila kitu online unaenda kuchukua hati tuuKwa Bagamoyo niliwauliza wakasema ukishalipia kiwanja unaenda wanakupa form ujaze uende ofisi za ardhi kuomba hati. Sijajua halmashauri zingine wana utaratibu upi
Lazma uende au utume mtu a peleke barua ya kuomba kumilikishwa, kisha utapewa gharama za hati utalipa na kuja a fomu usubir hatiKuna mtu kashapata hati au yuko kwenye process hiyo? Ni lazima uendee huko halmashauri husika?
okayLazma uende au utume mtu a peleke barua ya kuomba kumilikishwa, kisha utapewa gharama za hati utalipa na kuja a fomu usubir hati
control number unaipata hapo hapo kwenye mfumo. log in then nenda kwenye dashboard, then land sales then my application then bonyeza hapo kwenye mshale utapata option ya kuview billNaombeni msaada mie nimefanya maombi yangu ya kiwanja lakini control namba sipati hivyo basi nashindwa kulipa ata ada ya maombi ya kiwanja
Mkuu Mimi nmeomba viwanja viwili lakini inaonyesha kama hivi hapa chinicontrol number unaipata hapo hapo kwenye mfumo. log in then nenda kwenye dashboard, then land sales then my application then bonyeza hapo kwenye mshale utapata option ya kuview bill
jaribu kutumia browser nyingine kama chrome au firefox
Yule mshkaji Erick Kitali (MKURUGENZI TEHAMA TAMISEMI) amesema ndiyo kitu wanakipambania sasa. Ila mzigo ni mpaka December. Ila so far so good, wamejitahidi sanaOhoo… sasa unaishi Dar, unanunua kiwanja Bukoba online, ukishalipia usafiri tena kuchukua form ya hati? Wangemaliza kila kitu online unaenda kuchukua hati tuu
Biashara iko hivyo, matangazo huwa wanan weka vizuri mbele.Shida moja wanagawana vizuri vibaya ndiio wanaweka
Wametisha sana hapaShikamoo mfumo wa Tausi