Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Baa data kumaliza kulipia unaenda halmashauri husika tunaandika barua ya kuomba kumilikishwa kiwanja chako

Ukishajibiwa kuna. Fomu za kuja a na kulipia haizid 200000 achana na hizo gharama za kwenye website.

Mm changu cha kwimba ndo nasubiria hati.
Vipi ulipata hati mzee? Na vipi kama unachukua zaidi ya kiwanja kimoja, inamaaniasha inabidi nilipie form zaidi ya moja?
 
unalipa kidogo kidogo kwa muda gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…