Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Unajuaje kama kiwanja ni salama.
Unajuaje kama kuna huduma zote za kijamii, maji, umeme, Barabara
Unajuaje kama hakuna mafuriko
Unajuaje kama kiwanja hakina migogoro
Una hoja mkuu, lakini ninafikiria inawezekanaje serikali iuze kiwanja chenye mgogoro! Inawezekanaje serikali iuze kiwanja kwenye maeneo hatarishi Kwa mafuriko n.k, najiuliza tu inawezekanaje!! Yani serikali badala ya kuleta usitawi Kwa wananchi wake ilete utapeli! Tutakuwa hatuko salama kabisa ikiwa ni hivo.
 
Hivyo viwanja venye mgogoro kuuzwa na serikali au halmashauri ni kitu cha kawaida mno. Vyombo vya habari vimeripoti kwa miaka mingi, Migogoro ya ardhi ya Dar, Pwani na Dodoma ambapo wananchi wameuziwa viwanja na serikali na watu wa ardhi wa mkoa au halmashauri na wanapata hati na bado wanakutana na shida za migogoro ya ardhi.
 
Una hoja mkuu, lakini ninafikiria inawezekanaje serikali iuze kiwanja chenye mgogoro! Inawezekanaje serikali iuze kiwanja kwenye maeneo hatarishi Kwa mafuriko n.k, najiuliza tu inawezekanaje!! Yani serikali badala ya kuleta usitawi Kwa wananchi wake ilete utapeli! Tutakuwa hatuko salama kabisa ikiwa ni hivo.
Inawezekana na inatokea sana kila leo. Kikubwa kinachosababisha mgogoro ni double allocation, hii hufanywa kwa makusudi-pesa, na muda mwingine huwa ni bahati mbaya sababu serikali haina maeneo ya kufanya upimaji-surveying kwa urahisi

kwa upande wa bahati mbaya hutokea sababu mengi huwa encroached na pia huwa na vipande vya wamiliki wengine, sasa hapa wakati wa kufidia(kufidia hupewa viwanja) ndio mgogoro unapoibuka

maeneo hatarishi(hazardous areas) hizo case ndio common kabisa, unakuta eneo linatwamisha maji lakini upimaji unafanyika na watu wanauziwa.kwa nn wanafanya hivyo sababu sometimes unakuta eneo linalopimwa katikati yake(ndani yake) Kuna eneo linakaa maji, sasa unataka walikate walitupe? Litapimwa na utauziwa, kama ww Ni mjanja kabla hujanunua kaliangalie kipindi cha mvua(masika)
 
Tausi.
Umesema hapa kuwa Kuna viwanja vya halmashauri haviingii kwenye mfumo wa Tausi kwa ajili ya kuuzwa kwa wananchi naomba uweke ushahidi ili ijulikane kuwa mfumo wa Tausi unamapungufu na developer wafanyie kazi hayo Mapungufu.
Mimi nashindwa kununua kiwanja online kupitia Tausi sioni option ya kupata namba ya malipo pia sioni vipimo vya kiwanja husika. Naomba maelekezo please.
 
Back
Top Bottom