Endeleeni kumtengeneza dikteta,,hivi uraisi ni milki ya chama kimoja au mtu 🤣,,kwahiyo kila mtu anaeonyesha 'vijichokochoko' ashughulikiwe?🤣 ,Basi wakamateni wote au waueni mbaki na nchi yenu
 
Nchi hii ina watu wa ajabu sana, mzee ufufuo na uzima, siyo panya wa maabara wa kufanyia majaribio. Mungu kaona, kombora laja, aliyekenua atalia, na aliyelia atakenua.
 
Endeleeni kumtengeneza dikteta,,hivi uraisi ni milki ya chama kimoja au mtu 🤣,,kwahiyo kila mtu anaeonyesha 'vijichokochoko' ashughulikiwe?🤣 ,Basi wakamateni wote au waueni mbaki na nchi yenu
Chadema na wanachama wake wanapenda haya mambo ya udikteta wafanyiwe wabaya wao,ila wao wakiguswa wanataka tulie wote
 
Hizo ni tuhuma zisizo kuwa na ukweli! Gwajima hawezi kuwa Rais 2025 hivi hivi!

Jamani Gwajima ametoa mawazo na maoni yake,hakuna anayelazimishwa kufuata maoni yake.

Una hiari ya kuchanjwa au kutochanjwa.
 
Sioni ubaya mtu kutoa maoni yake. Watanzania lini tutajifunza kuvumilia mawazo mbadala?
 
Usimuamshe aliye lala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…