KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Endeleeni kumtengeneza dikteta,,hivi uraisi ni milki ya chama kimoja au mtu 🤣,,kwahiyo kila mtu anaeonyesha 'vijichokochoko' ashughulikiwe?🤣 ,Basi wakamateni wote au waueni mbaki na nchi yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha yachapane hayana faida yoyteYaache yauane, yote majambazi, yatwangane na risasi kabisa, sisi tunakaa pembeni tunashangilia
Matapeli yoteacha yachapane hayana faida yoyte
Chadema na wanachama wake wanapenda haya mambo ya udikteta wafanyiwe wabaya wao,ila wao wakiguswa wanataka tulie woteEndeleeni kumtengeneza dikteta,,hivi uraisi ni milki ya chama kimoja au mtu 🤣,,kwahiyo kila mtu anaeonyesha 'vijichokochoko' ashughulikiwe?🤣 ,Basi wakamateni wote au waueni mbaki na nchi yenu
Imulu ndo wap?Nani kasema Samia Suluhu anakwenda Imulu 2025,?
CCM hawamuwezi Gwajima wanalialia tu,huyu Gwajima ana 'watu'. Wakimgusa anakinukisha kinoma
Usimuamshe aliye lalaHabari!
Niliandika uzi kuwa mbunge wa Kawe ana nia ya kugombea Urais 2025. Na kwa mujibu wa mifumo ya CCM 2025 ni zamu yako tena Mh. Samia Suluhu kugombea Urais.
Huyu Gwajima mtu mwenye nguvu na mjanja sana, kavipiga vita vingi na kushinda. Usipojifunga kiume umdhibiti mapema huyu Askofu Gwajima atakuharibia njia na kukimegamega chama chenu nasi wapinzani tutashangilia maana huwenda tukapata mpenyo.