peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kama kawaida yako unaandika kwanza kisha unafikiri.Lissu aache ujinga,ninakumbuka wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli alikuwa anaandika twits za kufurahia sana tena sana.Yaani hata asiende huko kujichoresha kwa jinsi alivyokuwa anamtukana Magufuli na jinsi alivyofurahia kifo chake waziwazi kabisa.Magufuli mwenyewe alitamka "Mtanikumbuka"Hata miaka mitatu haijatimia kweli tunamkumbuka na hata waliofurahia kifo chake wanamkumbuka.
Kiwake tu tuheshimianeKama Rais mwenyewe anasema kaziba masikio kwa yanayoendelea nchini mwake hapo unategemea nini?
Na iwe hivyo kwa sababu jeshi linashindwa kutusaidia kuondokana na viongozi wanyonyaji na wabaguziHii NCHI ipo mbioni kupasuka ni suala la muda. Kuna mpasuko Mkubwa wa kidini, kisiasa na kiitikadi.
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Kwani akienda chato nyie mnapata hasara gani...?Lissu aache ujinga,ninakumbuka wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli alikuwa anaandika twits za kufurahia sana tena sana.Yaani hata asiende huko kujichoresha kwa jinsi alivyokuwa anamtukana Magufuli na jinsi alivyofurahia kifo chake waziwazi kabisa.Magufuli mwenyewe alitamka "Mtanikumbuka"Hata miaka mitatu haijatimia kweli tunamkumbuka na hata waliofurahia kifo chake wanamkumbuka.
Hawa kweli Mapunga. Hata nafasi zao hawazijui, kwani wao ndiyo wanaotoa ruhusa ya nani aende Chato na nani asiende? Tena huko Chato CHADEMA ina nguvu kuliko CCM.
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. CCM haina tofauti na bokoharam.Wao wanatumwa na CCM kufanya huu ujinga
Lisu alimtukana sana magufuli, alikuwa anamuita dikteta uchwara
Dawa ni BAVICHA kuita waandishi wa habari na wao kuelezea kwamba watasimama kutoa Ulinzi.
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Hayo matamshi wangeyatoa BAVICHA wangeshapewa kesi ya uhainina ugaidi.

Mna uhakika hawa jamaa waliokaa meza ya Mbele ni watu wa Chato?