UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

Lissu aache ujinga,ninakumbuka wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli alikuwa anaandika twits za kufurahia sana tena sana.Yaani hata asiende huko kujichoresha kwa jinsi alivyokuwa anamtukana Magufuli na jinsi alivyofurahia kifo chake waziwazi kabisa.Magufuli mwenyewe alitamka "Mtanikumbuka"Hata miaka mitatu haijatimia kweli tunamkumbuka na hata waliofurahia kifo chake wanamkumbuka.
Kama kawaida yako unaandika kwanza kisha unafikiri.
Hivi baada ya kifo chake nani hasa alimponda Magu zaidi ya CCM wenyewe ili kumjengea Samia kukubalika?
Nani waliokuwa wana sema Mama anaiponya nchi? Tunarudisha mahusiano yaliyokuwa yamepotezwa?
Ilifika mahali hadi mke wa marehemu mkamnanga hadharani kuwa wazuri hawafi? Si mpaka aliamuwa kuwazira akawa hataki hata mialiko yenu?
Lissu alikuwa anamtaja kama taasisi sio individual na bila akili huwezi elewa.
 
Hii NCHI ipo mbioni kupasuka ni suala la muda. Kuna mpasuko Mkubwa wa kidini, kisiasa na kiitikadi.
Na iwe hivyo kwa sababu jeshi linashindwa kutusaidia kuondokana na viongozi wanyonyaji na wabaguzi
 
Dah vijana wamejichokea sana hata afya zao zinasikitisha. Huku ccm napapenda kuna ulaji lakini vijana wengi wanaingia kwa kufuata mkumbo hapo wanaoimba hata ukiwauliza ahadi kubwa za ccm zilizopo kwenye ilani hawajui. Ccm inakataa fitina ila yenyewe ndio baba wa fitina😂😂

Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.

Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.

Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?

Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
 
IMG_20230802_095507.jpg
 
Kama rais samia ataruhusu haya yatokee na vyombo vya dola visiwakemee hawa basi hakuna shida mkimgusa lissu na nyie watu wa chato mjiandae kwa lolote mtakalolipata toka moshi arusha mbeya singida na kwengineko ccm kemeeni hili la sivyo mtajuta!
 
Lissu aache ujinga,ninakumbuka wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli alikuwa anaandika twits za kufurahia sana tena sana.Yaani hata asiende huko kujichoresha kwa jinsi alivyokuwa anamtukana Magufuli na jinsi alivyofurahia kifo chake waziwazi kabisa.Magufuli mwenyewe alitamka "Mtanikumbuka"Hata miaka mitatu haijatimia kweli tunamkumbuka na hata waliofurahia kifo chake wanamkumbuka.
Kwani akienda chato nyie mnapata hasara gani...?

Tangu lini Chato imekuwa Special Zone mpaka kufikia kutolewa Amri nani aende na nani asiende?

Kisheria Tundu lissu ana haki ya kufika chato, na kuzungumza na wananchi...hata akiamua Kununua Ardhi chato na kufanya makazi yake hapo anaruhusiwa. Akiamua kufungua Biashara au kufanya uwekezaji wowote chato anaruhusiwa kwa mujibu wa sheria...

Msije mkaigeuza chato kama "Paradiso ya CCM" kiasi kwamba mna maamuzi ya nani aende nani asiende...

Chato Ni Tanzania...chato ni ya watanzania...
Chato siyo mali ya Magufuli na haikuwa mali ya Magufuli...

Nchi hii ni yetu sote.

Karibu chato MH Lissu.
 
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.

Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.

Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?

Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Hawa kweli Mapunga. Hata nafasi zao hawazijui, kwani wao ndiyo wanaotoa ruhusa ya nani aende Chato na nani asiende? Tena huko Chato CHADEMA ina nguvu kuliko CCM.
Vitoto vijambazi hivi vinadhihirisha junsi vilivyo vipuuzi.
Bora vingekaa kimya, maana Lissu ni lazima afike huko.
 
Lisu alimtukana sana magufuli, alikuwa anamuita dikteta uchwara

Kwamba huyo mama yeye hajawahi kumsema vibaya?
Huyo mama Kila siku anamsema marehemu vibaya na kila mara anaenda kwenye kaburi lake kinafiki tu
Mbona familia haijawahi kutoa tamko lolote?
kuna watu wahinisi wana hati miliki ya hii nchi!
Bora tupigane wanaotangulia tutangulie
Ili watakaobaki basi waanze upya!
Muungano nao ufe hauna faida kwetu!
 
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.

Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.

Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?

Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Dawa ni BAVICHA kuita waandishi wa habari na wao kuelezea kwamba watasimama kutoa Ulinzi.
 
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.

Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.

Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?

Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Hayo matamshi wangeyatoa BAVICHA wangeshapewa kesi ya uhainina ugaidi.

Kingai anaendelea kumsubiri Lissu
 
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.

Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.

Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?

Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Mna uhakika hawa jamaa waliokaa meza ya Mbele ni watu wa Chato?
 
Back
Top Bottom