peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Chato: Kijiji kilichokaribia kuwa makao makuu ya mkoa-2
Hakuna mahali tumetupa fedha kama mradi wa ndege. Tunanunua ndege na kuzipaki uwanjani. SGR, hospitali ya rufaa Chato ni kichekesho kikubwa! Yapo mengi. Sawa Tuendelee kuaainisha hasara, daraja la Kijazi-Ubungo, stand ya Magufuli mbezi, upanuzi wa barabara hadi kibaha, ujenzi na uhamiaji makao...