Unataka niandike unavyotaka wewe? Tuko tofauti, wengine tuna akili wakati wengine hamnaSikudhani unaweza kuwa hivi, something wrong somewhere
Hao wahuni wa uvccm watakuwa wanatumika tu. HawajitambuiSasa mbona hapo Chato Tundu Lisu ndio alipata kura nyingi kuliko naniliu?!🤣🤣
Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.Lisu alimtukana sana magufuli, alikuwa anamuita dikteta uchwara
Kwani chato ni Mali au shamba la magufuli? Mbona hukohuko chato CHADEMA ni wengi kuliko magamba ya kengeLissu aache ujinga,ninakumbuka wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli alikuwa anaandika twits za kufurahia sana tena sana.Yaani hata asiende huko kujichoresha kwa jinsi alivyokuwa anamtukana Magufuli na jinsi alivyofurahia kifo chake waziwazi kabisa.Magufuli mwenyewe alitamka "Mtanikumbuka"Hata miaka mitatu haijatimia kweli tunamkumbuka na hata waliofurahia kifo chake wanamkumbuka.
Nakazia.Hii NCHI ipo mbioni kupasuka ni suala la muda. Kuna mpasuko Mkubwa wa kidini, kisiasa na kiitikadi.
Kuwa muongo ni siasa pia.Sasa mbona hapo Chato Tundu Lisu ndio alipata kura nyingi kuliko naniliu?![emoji1787][emoji1787]
Tena asikanyage kabisa kwa Magufuli.Lissu atalindwa na wananchi wa Chato. Atasindikizwa na wananchi hadi nyumbani kwa Magufuli.
Lissu aachane na Magufuli.Jinsi alivyomtukana leo anamuona anafaa?Kwani akienda chato nyie mnapata hasara gani...?
Tangu lini Chato imekuwa Special Zone mpaka kufikia kutolewa Amri nani aende na nani asiende?
Kisheria Tundu lissu ana haki ya kufika chato, na kuzungumza na wananchi...hata akiamua Kununua Ardhi chato na kufanya makazi yake hapo anaruhusiwa. Akiamua kufungua Biashara au kufanya uwekezaji wowote chato anaruhusiwa kwa mujibu wa sheria...
Msije mkaigeuza chato kama "Paradiso ya CCM" kiasi kwamba mna maamuzi ya nani aende nani asiende...
Chato Ni Tanzania...chato ni ya watanzania...
Chato siyo mali ya Magufuli na haikuwa mali ya Magufuli...
Nchi hii ni yetu sote.
Karibu chato MH Lissu.
Kuzaliwa Tanzania ni raha sana. Yaani Mtanzania anamzuia Mtanzania asikanyage Tanzania
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa CHADEMA kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Tutajie tusi Moja tu alilomtukana!Lissu aachane na Magufuli.Jinsi alivyomtukana leo anamuona anafaa?
Daaaa!Binadamu omba Sana MWENYEZI Mungu akupe akili na utashi wa kutukana bila woga na hata aibu..Daaaa!Binadamu omba Sana MWENYEZI Mungu akupe akili na utashi. Hawa Jamaa Uvccm akili hakuna na utashi hakuna
Halafu mnageuka na kutaka kufanya siasa za kistaarabu!! Sheria ni kwa wote lakini Serikali ya ccm inafanya kuwa ccm na taasisi zake they are above the law!!! CCM mtaanzisha fujo nchini na damu kumwagika!! You as a party will be accountable na Wassira will one day have to answer in a court of law for his incitement!Wao wanatumwa na CCM kufanya huu ujinga
Mnashindwa kuelewa, Lissu alimpinga Magufuli kwa Yale ambayo Magufuli alikosea na si vinginevyo. Hii haihusiani kabisa na kukubaliana nae kwa yale aliyopatiaLissu aache ujinga,ninakumbuka wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli alikuwa anaandika twits za kufurahia sana tena sana.Yaani hata asiende huko kujichoresha kwa jinsi alivyokuwa anamtukana Magufuli na jinsi alivyofurahia kifo chake waziwazi kabisa.Magufuli mwenyewe alitamka "Mtanikumbuka"Hata miaka mitatu haijatimia kweli tunamkumbuka na hata waliofurahia kifo chake wanamkumbuka.
Nakazia.Kama kawaida yako unaandika kwanza kisha unafikiri.
Hivi baada ya kifo chake nani hasa alimponda Magu zaidi ya CCM wenyewe ili kumjengea Samia kukubalika?
Nani waliokuwa wana sema Mama anaiponya nchi? Tunarudisha mahusiano yaliyokuwa yamepotezwa?
Ilifika mahali hadi mke wa marehemu mkamnanga hadharani kuwa wazuri hawafi? Si mpaka aliamuwa kuwazira akawa hataki hata mialiko yenu?
Lissu alikuwa anamtaja kama taasisi sio individual na bila akili huwezi elewa.