UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

Sasa mbona hapo Chato Tundu Lisu ndio alipata kura nyingi kuliko naniliu?!🤣🤣
Hao wahuni wa uvccm watakuwa wanatumika tu. Hawajitambui
Ni kana kwamba wapo juu ya Katiba ya nchi.
Hata rais hana hayo mamlaka wanayofiiri wanayo
 
Lissu aache ujinga,ninakumbuka wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli alikuwa anaandika twits za kufurahia sana tena sana.Yaani hata asiende huko kujichoresha kwa jinsi alivyokuwa anamtukana Magufuli na jinsi alivyofurahia kifo chake waziwazi kabisa.Magufuli mwenyewe alitamka "Mtanikumbuka"Hata miaka mitatu haijatimia kweli tunamkumbuka na hata waliofurahia kifo chake wanamkumbuka.
Kwani chato ni Mali au shamba la magufuli? Mbona hukohuko chato CHADEMA ni wengi kuliko magamba ya kenge
 
Kwani akienda chato nyie mnapata hasara gani...?

Tangu lini Chato imekuwa Special Zone mpaka kufikia kutolewa Amri nani aende na nani asiende?

Kisheria Tundu lissu ana haki ya kufika chato, na kuzungumza na wananchi...hata akiamua Kununua Ardhi chato na kufanya makazi yake hapo anaruhusiwa. Akiamua kufungua Biashara au kufanya uwekezaji wowote chato anaruhusiwa kwa mujibu wa sheria...

Msije mkaigeuza chato kama "Paradiso ya CCM" kiasi kwamba mna maamuzi ya nani aende nani asiende...

Chato Ni Tanzania...chato ni ya watanzania...
Chato siyo mali ya Magufuli na haikuwa mali ya Magufuli...

Nchi hii ni yetu sote.

Karibu chato MH Lissu.
Lissu aachane na Magufuli.Jinsi alivyomtukana leo anamuona anafaa?
 

Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.

Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.

Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa CHADEMA kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?

Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Kuzaliwa Tanzania ni raha sana. Yaani Mtanzania anamzuia Mtanzania asikanyage Tanzania
 
Unataka niandike unavyotaka wewe? Tuko tofauti, wengine tuna akili wakati wengine hamna
Ndio nasema something wrong somewhere, umeandika nini kama sio upumbavu?
Nani umeona hana akili? Mpuuzi wewe!
 
Daaaa!Binadamu omba Sana MWENYEZI Mungu akupe akili na utashi. Hawa Jamaa Uvccm akili hakuna na utashi hakuna
Daaaa!Binadamu omba Sana MWENYEZI Mungu akupe akili na utashi wa kutukana bila woga na hata aibu..
Huyu Jamaa hakumbuki jana alisema nini na hao uliowatukana utegemee wakupokee kwa makaribisho ya upendo na shangwe.

akili hakuna na kumbukumbu hakuna.
 
Wao wanatumwa na CCM kufanya huu ujinga
Halafu mnageuka na kutaka kufanya siasa za kistaarabu!! Sheria ni kwa wote lakini Serikali ya ccm inafanya kuwa ccm na taasisi zake they are above the law!!! CCM mtaanzisha fujo nchini na damu kumwagika!! You as a party will be accountable na Wassira will one day have to answer in a court of law for his incitement!
 
ukiwa na uelewa mdogo utashtuka kuwa UVCCM na TAL ni sawa na wasanii ali na naseeb.
 
Lissu aache ujinga,ninakumbuka wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli alikuwa anaandika twits za kufurahia sana tena sana.Yaani hata asiende huko kujichoresha kwa jinsi alivyokuwa anamtukana Magufuli na jinsi alivyofurahia kifo chake waziwazi kabisa.Magufuli mwenyewe alitamka "Mtanikumbuka"Hata miaka mitatu haijatimia kweli tunamkumbuka na hata waliofurahia kifo chake wanamkumbuka.
Mnashindwa kuelewa, Lissu alimpinga Magufuli kwa Yale ambayo Magufuli alikosea na si vinginevyo. Hii haihusiani kabisa na kukubaliana nae kwa yale aliyopatia
 
Kama kawaida yako unaandika kwanza kisha unafikiri.
Hivi baada ya kifo chake nani hasa alimponda Magu zaidi ya CCM wenyewe ili kumjengea Samia kukubalika?
Nani waliokuwa wana sema Mama anaiponya nchi? Tunarudisha mahusiano yaliyokuwa yamepotezwa?
Ilifika mahali hadi mke wa marehemu mkamnanga hadharani kuwa wazuri hawafi? Si mpaka aliamuwa kuwazira akawa hataki hata mialiko yenu?
Lissu alikuwa anamtaja kama taasisi sio individual na bila akili huwezi elewa.
Nakazia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM vs CDM liamsheni tuone nani ni nani
Mna kelele nyingi matendo ziro.
 
Kudhuru kaburi ni tendo la kiibada hivyo kama familia ya Magufuli imeridhia Tundu Antipas Lisu adhuru kaburi la Mpendwa wao sioni Sababu ya UVCCM Walio katika Dini mbalimbali kuingilia Kati

Ukristo ni Upendo na Msamaha!
 
Back
Top Bottom