KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Hawapendi kuuacha ujana na kuingia utu uzima. Hapo vijana wanadanganywa ili kufanya fujo wakati hao wazee/vijana wakiwa pembeni wakiangalia. Wao uongozi huo huutumia kupanda ngazi na si vinginevyo.Hivi, umri wa kijana huanzia wapi na kuishia wapi? Maana...
Kama akili ya yule anaitwa Kawaida ndo mwenyeki wa UV CCM Taifa je hao wa Wilaya watakuwa na Aina gani ya akili?Kiukweli hii sio sahihi. UVCCM kwa ujumla wamekuwa na upuuzi mwingi sana. Mimi siwakubali kabisa hawa vijana wa hovyo. Alichotamka huyo mwenyekiti wa CCM ni kama tu kuanzisha machafuko bila sababu. Halafu kakosea sana kutamka huu ushuzi wakati huu chama kinashambuliwa kuwa kinahusika na kuchoma gari la Chama Cha Mbowe. Ninadhani mwenyekiti wa CCM na viongozi wa juu watawachukulia hatua za kinidhamu hawa wahuni wa Chato wanaotumia UVCCM vibaya.
Kila nchi ina tafsiri yake......Hivi, umri wa kijana huanzia wapi na kuishia wapi? Maana...
Stupid, kamfuate mfe pamoja huko kaburiniLisu alimtukana sana magufuli, alikuwa anamuita dikteta uchwara
Mwenzako anafanya hekaheka ili akahiji kwenye kaburi, ha ha ha wewe vipi?Stupid, kamfuate mfe pamoja huko kaburini
Unataka niunge mkono hata ujinga wa Lissu? Hapana usiishi kwa kukariri!!Najaribu tuu kukusaidia maana awali ulikuwa unaandika vitu vya maana, ghafla unatoa pumba! Wewe ndio wa kumkebehi Lissu?
Huoni hizo "ali"!!?Marehemu anaambiwa ukweli?
USSR
Bado tu huna uwezo wa kuelewa maana yake?Mwenzako anafanya hekaheka ili akahiji kwenye kaburi, ha ha ha wewe vipi?
Siyo uendeshaji wa vyama vya siasa tu bali hata nchi mambo mengi wananchi wanafanokisha kwa juhudi zao binafsi siyo kwakutumia mifumo iliyo rasmi .The main reason of failures is unconnected structures of government machineryAfadhali kama umeling'amua hili...Kama Taifa hatuna ideology inayoendesha vyama, hata chama changu CCM Kuna mabepari na wajamaa mumo humo, na as if Kila mtu ana godfather wake anayemwezesha na laiti kama uwezeshaji huo ni Kwa maslahi ya taifa, lahh watu wameunga juhudi binafsi wakitumiwa kama ma dalali fulani hivi huku wakiuza raia wenzao Kwa pishi la mchuzi wa dengu, what a betrayal to our utaifa?...Ukitafakati sana unajihurumia kama raia na hujui hatima ya yote haya ni nini...God of mercy remember my country!
Mpaka umenifanya nirudi kuangalia profile yako na nimegundua sio hawa watoto wa juzi. Sasa shida yako nini mbona hspo awali hukua na akili za kijinga namna hii?Wewe Chakaza huna akili. Unaishi kwa upepo wa mtu. Maadam Tundu Lissu ni kiongozi wako unakubali hata maujinga yake.
Amefanikiwa kuhiji kwenye kaburi au ile ilikuwa geresha yake tu😂?Bado tu huna uwezo wa kuelewa maana yake?
Haya kaingia Chato na karudia yaleyale mnayoita nyie matusi lakini wana Chato wamemuelewa na kumpongeza huku wakimuombea dua!
1. Hotuba imeandikwa na mtu mwingine halafu yeye anasoma na ndiyo maana anababaika tu..
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa CHADEMA kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.