UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

Kiukweli hii sio sahihi. UVCCM kwa ujumla wamekuwa na upuuzi mwingi sana. Mimi siwakubali kabisa hawa vijana wa hovyo. Alichotamka huyo mwenyekiti wa CCM ni kama tu kuanzisha machafuko bila sababu. Halafu kakosea sana kutamka huu ushuzi wakati huu chama kinashambuliwa kuwa kinahusika na kuchoma gari la Chama Cha Mbowe. Ninadhani mwenyekiti wa CCM na viongozi wa juu watawachukulia hatua za kinidhamu hawa wahuni wa Chato wanaotumia UVCCM vibaya.
Kama akili ya yule anaitwa Kawaida ndo mwenyeki wa UV CCM Taifa je hao wa Wilaya watakuwa na Aina gani ya akili?
 
Samia unaipasua Tanzania. Sidhani kama hao unaowategemea watakubali Tanganyika imezwe na haya ya bandari, mbuga, Na mauchafu mengine unayoifanyiaTanganyika
 
Najaribu tuu kukusaidia maana awali ulikuwa unaandika vitu vya maana, ghafla unatoa pumba! Wewe ndio wa kumkebehi Lissu?
Unataka niunge mkono hata ujinga wa Lissu? Hapana usiishi kwa kukariri!!
Lissu amekosea sana lugha aliyotumia kumkosoa Rais Samia. Kama uko na Lissu kwenye hili basi kichwa chako ni cha kufugia nywele
 
Ndio nasema something wrong somewhere, umeandika nini kama sio upumbavu?
Nani umeona hana akili? Mpuuzi wewe!
Wewe Chakaza huna akili. Unaishi kwa upepo wa mtu. Maadam Tundu Lissu ni kiongozi wako unakubali hata maujinga yake.
 
Afadhali kama umeling'amua hili...Kama Taifa hatuna ideology inayoendesha vyama, hata chama changu CCM Kuna mabepari na wajamaa mumo humo, na as if Kila mtu ana godfather wake anayemwezesha na laiti kama uwezeshaji huo ni Kwa maslahi ya taifa, lahh watu wameunga juhudi binafsi wakitumiwa kama ma dalali fulani hivi huku wakiuza raia wenzao Kwa pishi la mchuzi wa dengu, what a betrayal to our utaifa?...Ukitafakati sana unajihurumia kama raia na hujui hatima ya yote haya ni nini...God of mercy remember my country!
Siyo uendeshaji wa vyama vya siasa tu bali hata nchi mambo mengi wananchi wanafanokisha kwa juhudi zao binafsi siyo kwakutumia mifumo iliyo rasmi .The main reason of failures is unconnected structures of government machinery
 
Wewe Chakaza huna akili. Unaishi kwa upepo wa mtu. Maadam Tundu Lissu ni kiongozi wako unakubali hata maujinga yake.
Mpaka umenifanya nirudi kuangalia profile yako na nimegundua sio hawa watoto wa juzi. Sasa shida yako nini mbona hspo awali hukua na akili za kijinga namna hii?
Lissu sio kuwa namkubali binafsi bali hoja zake. Sasa mbona wewe unaonekana kama una chuki binafsi naye? Kama ni hivyo basi mambo yenu binafsi usiyaingize kwenye hoja zinazojadiliwa na wengine.
 
Bado tu huna uwezo wa kuelewa maana yake?
Haya kaingia Chato na karudia yaleyale mnayoita nyie matusi lakini wana Chato wamemuelewa na kumpongeza huku wakimuombea dua!
Amefanikiwa kuhiji kwenye kaburi au ile ilikuwa geresha yake tu😂?
 

Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.

Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.

Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa CHADEMA kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?

Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
1. Hotuba imeandikwa na mtu mwingine halafu yeye anasoma na ndiyo maana anababaika tu..

2. Ushahidi gani tena polisi watataka kwa waliochoma gari la msafara wa Tundu Lissu moto na kuurushia mawe msafara wake leo huko Chato kama siyo huyu jamaa na hao vijana walio nyuma yake?

Wakamatwe hawa, wafikishwe kwenye vyombo vya sheria na walipe gharama ya hasara walioisababisha ili iwe fundisho kwa wengine kujifunza nini cha kusema na wapi..
 
Back
Top Bottom