UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi.

Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa umoja huyo Taifa, Kheri James wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma akibainisha kuwa huu ni wakati wa kusamehe ya nyuma na kufungua ukurasa mpya wenye mambo yatakayokuwa na tija kwa Taifa.

“Inawezekana katika siasa zetu na hekaheka za kutofautiana kimitazamo yapo mambo ambayo huko nyuma yalipelekea umoja wetu ukatetereka, sisi kama umoja wa vijana hatuoni aibu kusema tunaomba radhi kwa hayo kama tuliyatenda na tupo tayari kuyarekebisha ili kutengeneza jukwaa safi kwa rais wetu kuanza upya akiwa na watu walioshikamana ili nchi yetu iweze kwenda mbele.”

“Vijana wa nchi hii ndio watakuwa wanufaika wa kwanza Serikali ikiwa imara na vijana wa nchi hii ndio watakaokuwa wahanga wakubwa nchi ikiwa dhaifu.”

“Kwa hiyo ninasisitiza vijana tunahakikisha maneno na matendo yetu yanafanana na dhamira ya rais wetu ili kumrahisishia kazi yake mpya aliyopewa ya kutuongoza kama mkuu wa nchi ili sisi tuwe ni nguzo ya umoja, mshikamano na maendeleo ya nchi yetu,” amesema James.

Kweli maisha yanaenda kasi sana, Kheri James leo anaongea maneno kama kanyeshewa na mvua.
Wachumia tumbo hakuna jipya
 
Katika vitu vya kufanya ili chama kikae sawa ni pamoja na huyu. Awekwe pembeni. Amechangia sana kutia chama dosari.
 
Aise hadi huruma nihuyohyo dogo au mwingine.....aise rudisheni mliowaua ili mkae sawa
 
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi.

Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa umoja huyo Taifa, Kheri James wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma akibainisha kuwa huu ni wakati wa kusamehe ya nyuma na kufungua ukurasa mpya wenye mambo yatakayokuwa na tija kwa Taifa.

“Inawezekana katika siasa zetu na hekaheka za kutofautiana kimitazamo yapo mambo ambayo huko nyuma yalipelekea umoja wetu ukatetereka, sisi kama umoja wa vijana hatuoni aibu kusema tunaomba radhi kwa hayo kama tuliyatenda na tupo tayari kuyarekebisha ili kutengeneza jukwaa safi kwa rais wetu kuanza upya akiwa na watu walioshikamana ili nchi yetu iweze kwenda mbele.”

“Vijana wa nchi hii ndio watakuwa wanufaika wa kwanza Serikali ikiwa imara na vijana wa nchi hii ndio watakaokuwa wahanga wakubwa nchi ikiwa dhaifu.”

“Kwa hiyo ninasisitiza vijana tunahakikisha maneno na matendo yetu yanafanana na dhamira ya rais wetu ili kumrahisishia kazi yake mpya aliyopewa ya kutuongoza kama mkuu wa nchi ili sisi tuwe ni nguzo ya umoja, mshikamano na maendeleo ya nchi yetu,” amesema James.

Kweli maisha yanaenda kasi sana, Kheri James leo anaongea maneno kama kanyeshewa na mvua.
Akina Kheri James in kanda ya ziwa na sasa wamebaki uchi wataijua nchi.
 
Kama mwenyekiti alipaswa kuzungumza ila mazungumzo haya tayari yameshamzika James Mapoz
 
Laz
Halafu jamaa kumbe yupo vizuri katika kuongea na kupanga hoja,kumbe alikuwa anajitoa ufahamu.
Lazima umfurahishe mjomba.

Uku uvccm kheri James
Kule hazina kaka na kheri
Kule madini Biteko Dotto
Kule nishat kalemani.
Hujaenda kule kwa mkuu wa jamaa waleewa nguo za mabakamabaka naye ni dugu moja.

Hilo kolabo la undugu unalionaje hapo.
 
Huyu Kheri kachanganyikiwa! Kwahiyo sasa marehemu ndio atwishwa zigo kiaina? Hivi mnafikiri mtaaminiwa na hao viongozi walio hai huku wakishuhudia matendo yenu?

Nafikiri yapo yanaendelea huko nyuma ya pazia ...
Hawa ni wahuni sn
 
Laz
Lazima umfurahishe mjomba.

Uku uvccm kheri James
Kule hazina kaka na kheri
Kule madini Biteko Dotto
Kule nishat kalemani.
Hujaenda kule kwa mkuu wa jamaa waleewa nguo za mabakamabaka naye ni dugu moja.

Hilo kolabo la undugu unalionaje hapo.
Mwanasheria mkuu n.k
 
Dunia inaenda kasi Sana .No vema kuishi kwa amani na upendo kwa watu wote,na kibwa zaidi kuheshimu utu wao!

Hxistoria no mwalimu mzuri sana!

Wakati was uchaguzi Kuna watu walimkejeli Sana Tundu Lissu !Wenginee kwa ulemavu wake,nk!Wakasahu kuwaMungu hakumuumba hivo!

Mojawapo ninayo ikumbuka no ya Mwenyekiti wa UvCCM aliposema kuwa safari hatatumia risasi Tena Bali watatumia sumu!
Kauli hii haijawahi kikemewa na viongozi was kijana huyu...sijui kwa Nini....?

Nafikiri kwa Msamaha aliomba Leo umejumuisha pia na kauli hii...!
Wakati tunatafakari msamaha huu...tusome kwa sauti Zaburi ya 35!

Maendeleo hayana Chama!

Mod acheni Uhuru wa kutoa maoni utamalaki!
 
Kipindi kile waliaminishwa kuwa wanaongozwa na malaika mtoa roho kumbe haikuwa hivyo. Wasamehe make akili zao zimeanza kurejea ingawa naamini muda utafika watarudia yaleyale maana CCM ni ileile.
 
Mmshenzi mmoja huyu, nasema hiviiii mama LA mama endelea kuwapitishia kisu kwenye tundu LA makalio, wote akili zitakaa sawa ..
Nakazia, mama awapelekee moto hawa wapumbavu walamba matako, walitufikisha sehemu mbaya sana kama taifa chuki ilikua imefikia kiwango ambacho ilikua inasubiriwa trigger tu watu tuanze kuuwana kama Sudan.
 
Mimi sijamsamehe aliposema mtu anayepinga jitihada za magu auwawe hadharani kwa kweli siwez kumsamehe kabisaaaaaa
 
Back
Top Bottom