Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Hajafikia level hiyo,,Kigogo ni black hackers huwezi mkamata black hackers hata siku moja hizi ni level za mossad,au CIA na sio watoto wa IT wa UDSM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajafikia level hiyo,,Kigogo ni black hackers huwezi mkamata black hackers hata siku moja hizi ni level za mossad,au CIA na sio watoto wa IT wa UDSM
Tatizo lenu hamkomi, this time mnakwenda na majiUwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana Kigogo2014 alikuwepo toka awamu iliyopita ya nne ila nyinyi saccos mnapapalika bure na huyo kigogo mara nyingi tu anawaingiza chaka! Poleni.
Tukome kwa lipi?Tatizo lenu hamkomi, this time mnakwenda na maji
[emoji23]Acha vitisho vya kishamba wewe, unajua maana ya msaliti wewe?
Msaliti ni mtu kapewa madaraka halafu anayatumia vibaya, huyo msaliti mnayemwabudu siku zake zinahesabika, muulizeni kilichomkuta Al Bashir wa Sudan.
Mange aje kufanya nini Tanzania? Kama nyie ni wanaume kweli mfuateni Marekani, mkione cha moto, na kigogo hamna la kumfanya mnajipa moyo tu, Bil 1.4 imeisha bila kumpata, bado hamkomi, hao Verient wa Israel na Romania wanawalia pesa zenu tu, mwaka huu maji mtayaita mma.
Wape za uso haoAcha vitisho vya kishamba wewe, unajua maana ya msaliti wewe?
Msaliti ni mtu kapewa madaraka halafu anayatumia vibaya, huyo msaliti mnayemwabudu siku zake zinahesabika, muulizeni kilichomkuta Al Bashir wa Sudan.
Mange aje kufanya nini Tanzania? Kama nyie ni wanaume kweli mfuateni Marekani, mkione cha moto, na kigogo hamna la kumfanya mnajipa moyo tu, Bil 1.4 imeisha bila kumpata, bado hamkomi, hao Verient wa Israel na Romania wanawalia pesa zenu tu, mwaka huu maji mtayaita mma.
Usikute wewe ndiyo kigogoNaomba niwashauri idara yetu nyeti ya TISS kuhusu jinsi mnavyomfuatilia Kigogo2014 ili kumweka mikononi mwenu kwa sababu ya kutoa siri nzito nzito za Serikali.
Niwaeleze ukweli kwamba, Kigogo2014 hamuwezi kumkamata hata iweje kwa sababu Kigogo siyo mtu mmoja bali ni syndicate kubwa ndani ya syndicate nzito na yenye nguvu kubwa.
Inasemekana zimetumika zaidi ya Bil 1.4 kumsaka Kigogo, mmeshindwa kubaini ukweli na badala yake mnazidi kupoteza pesa za umma kumsaka mtu ambaye hamuwezi kumpata.
Ujio wa Kigogo umesababishwa na uwepo wa utawala mbovu, unaominya haki za Binadamu Uhuru wa Habari, Demokrasia na uharibifu mkubwa wa uchumi.
Badala ya kujikita kwenye kuleta maendeleo, awamu ya Tano imetumia Pesa za umma kununua wapinzani na kuvuruga Demokrasia.
Ajira ya TISS imejikita zaidi kwa vijana wa UVCCM na siyo kwa intelligence experts, sasa watu Kama hao watawezaje kumpata mtu mwenye level ya Mossad na CIA?
Uongozi hauhitaji mabavu bali hekima, unapoamua kuwa mbabe na kwa sababu unawaongoza siyo mbuzi, ni watu wenye akili zao, tarajia kukutana na ma whistle-blowers wengi.
Na mwisho wa siku utashindwa tu, tatizo lenu mnatumika kisiasa sana, yaani mpo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inatawala milele na siyo kwa ajili ya ustawi wa nchi.
Awamu hii hii ya Tano inayosifika kwa kukamata wakwepa kodi, kuna kampuni nyingi tu nazijua na nina ushahidi mkubwa kuwa zinakwepa kodi. Ajabu eti serikali makini haijui, ila serikali hiyo hiyo inajua ni lini Mbowe atafanya mkutano wa ndani ili waweze kumdhibiti asichafue amani ya nchi, kichekesho kweli.
Kama Trilioni 1 ilipotea na CAG akatolewa kwa kusema ukweli, basi acha watu wakwepe kodi. TISS wapo bize kuwarekodi kina Steve Nyerere wakiigiza sauti ya Mbowe anamnyanyapaa kimapenzi mbunge wa Chadema (jina linahifadhiwa)
Yaani badala ya kufanya mambo ya msingi kwa Taifa mnatumika na mambo ya hovyo, baada ya Kigogo kuwavua nguo huko Twitter sidhani kama bado mnaendelea tena na hujuma dhidi ya Mbowe.
Fanyeni ishu za maana kwa Taifa, acheni roho ya usaliti kwa Taifa, vinginevyo mtadukuliwa mno.
Long live Kigogo2014.
mmenyoosha mikono kumbeHivi mtu anayejielewa atapoteza muda kumtafuta mtu ambaye hajulikani?
Huyo ni mropokaji tu
Teheheheheheh....Usikute wewe ndiyo kigogo
Hopeless comment hii. Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.Acha vitisho vya kishamba wewe, unajua maana ya msaliti wewe?
Msaliti ni mtu kapewa madaraka halafu anayatumia vibaya, huyo msaliti mnayemwabudu siku zake zinahesabika, muulizeni kilichomkuta Al Bashir wa Sudan.
Mange aje kufanya nini Tanzania? Kama nyie ni wanaume kweli mfuateni Marekani, mkione cha moto, na kigogo hamna la kumfanya mnajipa moyo tu, Bil 1.4 imeisha bila kumpata, bado hamkomi, hao Verient wa Israel na Romania wanawalia pesa zenu tu, mwaka huu maji mtayaita mma.
Mtaumiza wengi mno kupitia hao washirika unaweza kushangaa nduguyo kadakwa.Hashikwi kwa taarifa yako ila washirika wake wote watadakwa usiulize why.
Alisha mdiss membe mbonaKigogo huyu lazima atakuwa anacoonnection na membe. Naona anguko kubwa la utawala wa magufuli.
Nakujibu namba 3.Kama ningekuwa mpelelezi,ningeazia kwa muanzisha uzi inaonesha anajuwa mengi kuhusu huyo kigogo kwa 7babu zifuatazo.
1.Amejuaje serikal inamtafuta kigogo.
2.Amejuaje wameshatumia 1.4 bilioni
3.Amejuaje kigogo si mtu 1 ni kundi.
4.Amesema ana ushahidi wa wakwepa kodi.
5.Amejuaje wanaompleleze kigogo hawako smart.
6.Na ukiona uandishi wake umeegemea kuonekana huyo mtu hawezekani so wamuache tu wasiendelee kumtafuta.
Poor postNaomba niwashauri idara yetu nyeti ya TISS kuhusu jinsi mnavyomfuatilia Kigogo2014 ili kumweka mikononi mwenu kwa sababu ya kutoa siri nzito nzito za Serikali.
Niwaeleze ukweli kwamba, Kigogo2014 hamuwezi kumkamata hata iweje kwa sababu Kigogo siyo mtu mmoja bali ni syndicate kubwa ndani ya syndicate nzito na yenye nguvu kubwa.
Inasemekana zimetumika zaidi ya Bil 1.4 kumsaka Kigogo, mmeshindwa kubaini ukweli na badala yake mnazidi kupoteza pesa za umma kumsaka mtu ambaye hamuwezi kumpata.
Ujio wa Kigogo umesababishwa na uwepo wa utawala mbovu, unaominya haki za Binadamu Uhuru wa Habari, Demokrasia na uharibifu mkubwa wa uchumi.
Badala ya kujikita kwenye kuleta maendeleo, awamu ya Tano imetumia Pesa za umma kununua wapinzani na kuvuruga Demokrasia.
Ajira ya TISS imejikita zaidi kwa vijana wa UVCCM na siyo kwa intelligence experts, sasa watu Kama hao watawezaje kumpata mtu mwenye level ya Mossad na CIA?
Uongozi hauhitaji mabavu bali hekima, unapoamua kuwa mbabe na kwa sababu unawaongoza siyo mbuzi, ni watu wenye akili zao, tarajia kukutana na ma whistle-blowers wengi.
Na mwisho wa siku utashindwa tu, tatizo lenu mnatumika kisiasa sana, yaani mpo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inatawala milele na siyo kwa ajili ya ustawi wa nchi.
Awamu hii hii ya Tano inayosifika kwa kukamata wakwepa kodi, kuna kampuni nyingi tu nazijua na nina ushahidi mkubwa kuwa zinakwepa kodi. Ajabu eti serikali makini haijui, ila serikali hiyo hiyo inajua ni lini Mbowe atafanya mkutano wa ndani ili waweze kumdhibiti asichafue amani ya nchi, kichekesho kweli.
Kama Trilioni 1 ilipotea na CAG akatolewa kwa kusema ukweli, basi acha watu wakwepe kodi. TISS wapo bize kuwarekodi kina Steve Nyerere wakiigiza sauti ya Mbowe anamnyanyapaa kimapenzi mbunge wa Chadema (jina linahifadhiwa)
Yaani badala ya kufanya mambo ya msingi kwa Taifa mnatumika na mambo ya hovyo, baada ya Kigogo kuwavua nguo huko Twitter sidhani kama bado mnaendelea tena na hujuma dhidi ya Mbowe.
Fanyeni ishu za maana kwa Taifa, acheni roho ya usaliti kwa Taifa, vinginevyo mtadukuliwa mno.
Long live Kigogo2014.
Hahahahah this is not a room pant wherein you're used toPoor post
Kigogo ni TISS wa kuwachezesha sebene bavicha...Naomba niwashauri idara yetu nyeti ya TISS kuhusu jinsi mnavyomfuatilia Kigogo2014 ili kumweka mikononi mwenu kwa sababu ya kutoa siri nzito nzito za Serikali.
Niwaeleze ukweli kwamba, Kigogo2014 hamuwezi kumkamata hata iweje kwa sababu Kigogo siyo mtu mmoja bali ni syndicate kubwa ndani ya syndicate nzito na yenye nguvu kubwa.
Inasemekana zimetumika zaidi ya Bil 1.4 kumsaka Kigogo, mmeshindwa kubaini ukweli na badala yake mnazidi kupoteza pesa za umma kumsaka mtu ambaye hamuwezi kumpata.
Ujio wa Kigogo umesababishwa na uwepo wa utawala mbovu, unaominya haki za Binadamu Uhuru wa Habari, Demokrasia na uharibifu mkubwa wa uchumi.
Badala ya kujikita kwenye kuleta maendeleo, awamu ya Tano imetumia Pesa za umma kununua wapinzani na kuvuruga Demokrasia.
Ajira ya TISS imejikita zaidi kwa vijana wa UVCCM na siyo kwa intelligence experts, sasa watu Kama hao watawezaje kumpata mtu mwenye level ya Mossad na CIA?
Uongozi hauhitaji mabavu bali hekima, unapoamua kuwa mbabe na kwa sababu unawaongoza siyo mbuzi, ni watu wenye akili zao, tarajia kukutana na ma whistle-blowers wengi.
Na mwisho wa siku utashindwa tu, tatizo lenu mnatumika kisiasa sana, yaani mpo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inatawala milele na siyo kwa ajili ya ustawi wa nchi.
Awamu hii hii ya Tano inayosifika kwa kukamata wakwepa kodi, kuna kampuni nyingi tu nazijua na nina ushahidi mkubwa kuwa zinakwepa kodi. Ajabu eti serikali makini haijui, ila serikali hiyo hiyo inajua ni lini Mbowe atafanya mkutano wa ndani ili waweze kumdhibiti asichafue amani ya nchi, kichekesho kweli.
Kama Trilioni 1 ilipotea na CAG akatolewa kwa kusema ukweli, basi acha watu wakwepe kodi. TISS wapo bize kuwarekodi kina Steve Nyerere wakiigiza sauti ya Mbowe anamnyanyapaa kimapenzi mbunge wa Chadema (jina linahifadhiwa)
Yaani badala ya kufanya mambo ya msingi kwa Taifa mnatumika na mambo ya hovyo, baada ya Kigogo kuwavua nguo huko Twitter sidhani kama bado mnaendelea tena na hujuma dhidi ya Mbowe.
Fanyeni ishu za maana kwa Taifa, acheni roho ya usaliti kwa Taifa, vinginevyo mtadukuliwa mno.
Long live Kigogo2014.
Mkuu waache wapoteze muda wao,wafe masikini, labda wana muda wa kuchezea kumfuatilia muhuni.Hivi mtu anayejielewa atapoteza muda kumtafuta mtu ambaye hajulikani?
Huyo ni mropokaji tu
Usiwasifie sana.TISS haipo simple kama mnvayo ichukulia. Ina watu smart na wenye IQ kubwa sana na wanatenda kwa sehemu zao kwa weledi wa hali juu,vivyo hivyo kuna vichwa maji mle na ndio wanaipaka idara matope ya mavi...