Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Kweli mimi siyo mwanamke aliye sawa sawa. Mimi ni mwanamke na robo tatu.
[emoji38][emoji38]link hatukupi wewe angalia msiba wa Raisi wako
Nguvu ya Uma ni hatariWalikuwa wana test zali watu wakaamua kuwapa ukweli
Ulijuaje Babu tale kamtoa mkewe kafara? Kama hukuwahi kwenda na hujui uhusiano wa mganga na vitu ulivyokuwa umevikomalia kwa Babu taleSijawahi hata kwenda kwa mganga tokea nizaliwe miaka 34 iliyopita.
Wanaweza wakamzuiaPia ingefaa Lissu aende moja kwa moja akamuage na kutoa salamu za pole kwa Mh.Mkapa kule uwanja wa uhuru
Corona ipo. Nina ndugu amefariki na 4 wako hospital wanatetea uhai. Sasa hivi naelekea Taifa kuaga mwili na nitavaa Barakoa bila hofu. Afya ni yangu na uhai ni wangu ni lazima nijilinde. Propaganda hazina nafasi kabisa kwenye maisha yanguMask za nini? Muheshimiwa Rais wetu Mpendwa, Kiongozi shupavu ameshatuhakikishia hakuna Korona; Tena anawashangaa wanao vaa mask;
Brother Uko wapi? mimi nipo ughaibuni na napata Info zote kama nipo nyumbani;
Mask tunavaa sisi huku kwetu ndo bado ipo, ila Tz ni salam mkuu, hivyo endelea kufurahia maisha
Hii sio mada acha kutapa tapaNaona wapinzani wamekubali kuwa corona hamna kama serikali ilivosema
Nipo hapa uwanja wa taifa polisi siwaoni naona nao wameenda kumpokea rais wetu
Rais wa Utuuuruki na MarekaTuna kuja kwa mamia kumpokea Rais mtarajiwa.
huyu ndio fundi Wa baba yenu yule mshamba Wa madaraka na yesu Wa kangeFundi wa washamba kafika....
Hebu usiniambie mambo iliyopita. Hapa naongelea Lissu. Babu Tale ndo mdudu gani ?Ulijuaje Babu tale kamtoa mkewe kafara? Kama hukuwahi kwenda na hujui uhusiano wa mganga na vitu ulivyokuwa umevikomalia kwa Babu tale
Kumbe mkuu wewe ni binti kabisa.Sijawahi hata kwenda kwa mganga tokea nizaliwe miaka 34 iliyopita.
Nadhani mzee alikuwa anakula Information za hovyo kutoka kwa Dogo yule; I hope mzee atakuwa hivi from now onwards, labda wapinzani wapitilize kupindukia hapo anaweza tumia power, Possibly ila kama harakati za kawaida watafanya siasa zao vizuri.Magufuli akiendelea na utulivu huu wa kutowasumbua wapinzani atapata heshima.
Karibu Lisu Mungu ni mwemaPICHA KUTOKA JNIA
======
UPDATES;
1105HRS: Hapa uwanjani pametulia, hakuna fujo wala dalili za fujo, Wanachama wachache wa CHADEMA wanaonekana wakipita pita huku na kule. Bado sijabahatika kuona gari la Polisi Wala Gari la CHADEMA.
View attachment 1518414
View attachment 1518413
Ratiba inaonesha muda wa ndege kufika ni saa saba na dakika Ishirini. Angalia kwenye chati
View attachment 1518416
1121hrs: Saa moja iliyoisha Tundu Lissu ndo amepanda ndege ya Ethiopian Airlines ET 805 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Bole Addis Ababa kuja hapa Dar Julius Kambarage Nyerere International Airport.
Safari inatazamiwa kuchukua masaa yasiyozidi Matatu kufika hapa tulipo.
View attachment 1518415
1140hrs: Mwenyekiti Mkoa wa Iringa CHADEMA William Mungai, aliyekuwa Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi(Sugu) Wakiwa Wamefika hapa Uwanja wa ndege kumpokea Lissu
View attachment 1518417
1156HRS: Kutoka kushoto: Hekima Mwasipu, Wakili wa Chadema, Sugu, Catherine Ruge(Simba Jike) Viti Maalum Mara na Mgombea wa Jimbo la Segerea CHADEMA
View attachment 1518418
1230hrs: Polisi Magari Mawili ya Polisi wameshusha Wanausalama wa kulinda amani wapatao kama 30 nje ya Viunga vya Uwanja wa ndege. Wamekaa mstari kama Gwaride na wanapewa Maelekezo. Wameshusha njia Panda ya kuelekea Uwanja wandege. Kuna askari wanne walikuwepo tangu asubuhi Wakihoji kila anaye ingia.
Bodaboda kama 50 wapo hapo Askari Polisi Walipo, nadhani Wamekataliwa kuingia. Vilevile Magari ya CHADEMA maarufu kama Magari ya M4C, Yapo sehemu hiyo ya njiapanda yakizunguka huku na kule. Magari ya CHADEMA yapo Matano yamejaa watu waliovalia nguo za CHADEMA.
Polisi ukijielezea unapoelekea ndo Wanaruhusu. Lalikini kuna baadhi ya Wafanyakazi(Walinzi wa Uwanja, sio Polisi) ndo wanakataza watu kuingia.
View attachment 1518419View attachment 1518420
1240: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wameweza kupenya na kuongia ndani sehemu ya kusubiria Wageni
View attachment 1518423View attachment 1518422View attachment 1518421
View attachment 1518424
View attachment 1518425
1300hrs: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wameruhusiwa kuingia. Wengine wapo nje ya Uwanja wanaimba nyimbo.
View attachment 1518426
Polisi Tanzania Wamewaruhusu Wanachama wote wa CHADEMA na Wafuasi wa Tundu Lissu. Muda wowote ndege itawasili
View attachment 1518431
View attachment 1518432
Corona ipo. Nina ndugu amefariki na 4 wako hospital wanatetea uhai. Sasa hivi naelekea Taifa kuaga mwili na nitavaa Barakoa bila hofu. Afya ni yangu na uhai ni wangu ni lazima nijilinde. Propaganda hazina nafasi kabisa kwenye maisha yangu