Kwani tunashida gani.ila chadema nimewavulia kofia
yani mpo mnaserebuka kabisa pamoja na msiba mzito uliopo😁😆😆
Malizia YA VYAMA VINGIIIIIIIIIIIIHII NDIO DEMOKRASIA [emoji1787] [emoji1787]
walishapata taarifa mapema hao polifisiem, wangejaribu tu kulianzisha leo ilikuwa iwe siku ya fundisho kwao, we bwabwaja tu hapa hujui wazalendo tulijipangajeUngethubutu kuwaua uone kwani wananchi nao walikuwa na bastora zao wangekufyekelea mbali kisha viongozi wako wote wanapelekwa mahakama za uhalifu The Hague
Ndugu zangu nawaomba sana achaneni na maneno ya dhihaka. Kumbukeni hujafa hujaumbika.mbona unashadadia huo ukilema wake? Kama kilema hana sifa ya kuongoza watanzania mbona kwenye baraza lenu la mawaziri kuna walemavu?
Au leo hii unataka kutuaminisha kuwa rais alifanya makosa kumteua huyo waziri kisa ni mlemavu?
Hebu wacha ujinga weweeeeeeeYaani sisi tuko Uwanja wa Taifa, tunaomboleza, alafu wengine wanasherehekea kumpokea Lissu, hii sio sawa, CDM wanaharibu msiba wa Taifa kabisa, i wish i could be IGP.. [emoji28][emoji28][emoji28] ingekuwa story nyingine saa hz..[emoji28]
Najua leo umehongwa vocha na nauli ya bodaboda kuiimba pambio ndiyo uzuri wa malofa,ukiyaambia yajiandikishe kupiga kura hayajiandikishi kazi kulialia tu.Minyoo nipo tumboni mwako nimekutia njaa maradhi ya Akili huwezi kunywa tangawizi utakufa kwa Corona tu huku ukiimba Beberu utazani wewe ni mbuzi jike.
Mjusi kabanwa na Mlango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Le mutuz na cyprian Musiba wamekula pesa zao wakawadanganya watamroga ashindwe kurejea TanzaniaLumumba kuna waka moto
Tumeambiwa tushukuru kwa kila jambo.Sana Mkuu kwani wengi tulidhani tumempoteza Lissu siku ile ya Sept 7, 2017 lakini leo katua Nchini na TABASAMU kubwa sana mtu wa watu pamoja na UNYAMA na USHENZI mkubwa aliofanyiwa lakini bado anatabasamu tena tabasamu ya NGUVU.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ngoja ninunue popcorn halafu nitulie pembeni nikishuhudia mtu anavyovunjika ugoko hapa
Tuko pamoja makomando
ngoja tumtag kabisa bashite mbingunikwetu aone avimbe apasukeila nakuhakikishia Bashite angekuwa bado RC lazima angezuia hii halaiki, huko alipojificha muda huu roho inamuuma vby!.
Kwa furaha niliyonayo leo lazima ninywe divai [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mjusi kabanwa na Mlango
Kesho mkuu wa mkoa anaweza akatumbuliwa
Anatamani amrudishe bashite