Nyani=yangaAnza wewe bibie
Nimekuelewa. Na ndo maana nikasema kuwa hakuna ugonjwa uitwao UKIMWI. Au upo?Haunielewi Mkuu. Taratibu za huku, tunapokuwa makaburini huo inasomwa historia ya marehemu na mara nyingi source ya kifo chake kinatajwa. Marehemu alipata ajali, alikuwa na matatizo ya kisukari kwa muda mrefu, alikuwa na cancer n.k. Lakini inapokuja Ukimwi hata kama wote waliokuja wanajua kuwa marehemualikuwa ni muathirika wa muda mrefu na baadhi walikuwa wanamuuguza, Ukimwi hautajwi kwenye hiyo historia ya marehemu., zinatajwa euphemisms kama marehemu alikuwa na kisukari wakati wote wanajua kuwa hio sio kweli au kisukari kilikuwa ni moja tu ya matatizo yake lakini tatizo kubwa lilikuwa ni Ukimwi.
Amandla...
Unaona tofauti na mzee wa MIGA inaeleweka kazi ya Magufuli inachanganya wengi mwishowe ni personal issues, it was slip of the tongue.Tuombe mdahalo kati ya Lissu na Magufuli. Kama alipokuwa hayuko kwenye mdahalo aliita ma- Air Hostess ''Air Hostages'' siku hiyo ya mdahalo hata kisukuma kitamshinda.
Acheni kutukanana bhana. You are bigger than this.Nyanoko ebhe!
Inategemea,je vigezo utakuwa navyo ?
Sina hadhi huku unajikakamua kunikwoti na kuni tag?Nyani Ngabu , wewe ni tumbili mzee mwenye pampas! Huna hadhi yoyote!
Umetumwa nini??Lisu ajihadhari sana na Mbowe, Lema, Halima Mdee na Ester Bulaya, hawa ndio walimpigia kura ya HAPANA hafai kuwa mgombea urais, wanamtaka Nyalandu, ujio wake umewakasirisha wanaweza kumdhuru, asipokee maji ya kunywa, chakula wala kushikana nao mikono.
Hii haikuhusu. Kuna mtu nilikuwa namjibu swali aliloniuliza.Vigezo gani unavyo? Shubamiit.
Leo CHADEMA walijua watatikisa jiji kwa umati lakini hawaamini kilicho tokea, kati ya wakazi zaidi ya milioni 6 waishio jijini, wameambulia watu chini ya 1000 na wengi wao wakiwa ni viongozi toka mikoa mbalimbali.
Walijipanga sana huku wakisindikizwa na kelele za vyombo vya mabepari na chombo chao hiki cha JF (maana sikuhizi JF imekuwa sehemu yao) ila Watanzania wameonesha kuwa hawana mpango nao.
Nimeshuhudia Lissu akishangaa jengo lakisasa Terminal 3, ilibaki kidogo aseme CCM hoye, namsihi baada ya kukatwa na CHADEMA atembelee miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali hii kisha aende kisutu akiwa na dereva wake bila shuruti kujibu mashtaka yanayo mkabili.
cc
jingalao mng'ato na wazalendo wengine
Anasema huu mwili wake wote kasoro kichwa na uso ni ramani ya makovu ya risasi na visu vya madaktari anasema mguu wa kulia umejaa vyuma kuanzia kwenye goti Hadi kwenye nyonga na anasema bado ana risasi ambayo ipo kwenye mgongo na madaktari wamemshauri aiche iko sehemu mbaya
Hii haikuhusu. Kuna mtu nilikuwa namjibu swali aliloniuliza.
Twende Lissu, twendeeeeSitakufa bali nitaishi, niyasimulie matendo makuu ya Mungu katika nchi ya walio hai. TL for presidency[emoji1477][emoji1477][emoji1477]