Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

Mpuuzi tu wewe
 
Mbona wewe wakati hizo tozo zinasomwa bungeni ulikuwa busy kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za bet?
 
Thank you πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸ½

 
Tatizo linaanza na fikra hizi, kudhani haki ni hisani inayotolewa na kiongozi fulani na si zao la sheria za nchi!
Mkuu umemaliza kila kitu. Sijui ni madhara ya utumwa. Kweli mtu mzima anasema mtu anayeidia haki anatakiwa anyekee na kulamba miguu ya aliyeipora? Hakika hata kama sina nguvu ya kuipata hiyo haki acha tu ila vizazi vijavyo vitasoma kuwa babu yetu hakupenda kulamba miguu ya mnyang'anyi.
 
Reactions: BAK
Mkuu unaonaje mama anavyowakomesha mataga, sukuma gang, sheria za nchi kutekelezwa kila kona baada ya dhakimu wako kuondoka?..

Anaupiga mwingi ee? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida kubw inayoikumba chadema kwa sasa ni mipango yao mibovu wameiga mavazi ya EFF wameshindwa kuiga mfumo wao .

Wao wameshika ajenda isiyokuwa na nguvu kwa Watanzania KATIBA .

Watafute ajenda zenye tija
Hio katiba kwa akili zako unazani ni kwa Faida ya Mbowe? Nazani ndivyo unavyo wadanganya ndugu zako
 
Reactions: BAK
Nenda road mkuu!
.
Kipenzi chako kasema,
 
Huna akili
 
Upinzani wa Tanzania,ni kujaribu kuipigia kelele serikali huku wakijua haisaidii!!
 
Chadema hawakujipanga, huwezi kumtoa mtu gerezani na kumtumia mkutanoni, huwa balikuwa na tatizo la kiakili.
Ni sawa n mtu aliyepata ajali anavyokurupuka kukimbia, akitulia atajua kuna kiungo hakipo sawa.

Sasa mdodi sijui yuko kimyaaa, hata kujamba anaweka pamba ushuzi usisikike.
Wangemuoa tena, nadhani hao ni watu wa maana, hawana huruma na na nchi sembuse mtu
 
Thank you πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸ½


Kwa upumbavu wako dikteta Samia kuvunja katiba na sheria unaona sawa kwa kuwa tu anatumia polisi kugandamiza haki!

Shame on you!

Kumbuka hata kusema na kulaani ni mbinu pia kwa sababu ujumbe umemfikia live. Hata ndotoni anaota kuwa hatendi haki!
 
Kaka mm Hawa cdm nimejitoa wajinga Sana enzi za magufuli tumewasupport kumpinga magufuli ,Leo Samia amekubali kuwasikiliza ,kawasamehe waliofungwa kiuonevu lkn bado wanamtukana,mbowe kavaa manguo ya waasi,yaan kaona mwanamke kawa rais ndo anataka kumsumbua mbona kwa magu hakufanya hvyo,yaan Ni bora bas hata angesubiri uchaguz ndo aanze vituko yaan kaona magu kafa kaibuka kwa fujo hv
 
Ukisikia naye kaenda Mzena urudi tena hapa kuuliza tutakupa majibu Mungu hataniwi , yaani Chahali hata hufahamiki unapigania nini , labda ulikuwa unampinga Magufuli tu , sisi tunapigania haki za nchi , ikiwemo Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
Acheni mikwala jameni

Kwahiyo hata Magufuli ni nyinyi mlimpeleka mzena?

doh, hahaha

Halafu ni haki zipi hizo mnapambania ambazo wananchi wa Tanzania hawana?

Kuhusu katiba mpya, itapatikana ila kwa nguvu ya watanzania wenyewe na sio kwasababu ya kupambaniwa na Chadema

Maana Chadema inataka katiba itakayoirahisishia kushika madaraka na sio kumkomboa mtanzania masikini.
 
For your information, ni confrontational politics ndizo zilizowainua kisiasa kina Maalim Seif, Slaa, Zitto, nk.

In fact ndizo ziliifanya CUF ya wakati ule iwe chama chenye nguvu sana. Ndizo baadaye ziliifanya Chadema ku take over kwa CUF na kuwa chama kikuu cha upinzani. Ndizo zinakifanya Chadema kiendelee kuwa chama kikuu cha upinzani hadi leo na kuonekana ni mwiba mkali kwa CCM.

So, hii ina maana any other approach (including ass-kissing like what ACT is currently doing) can never work against CCM.

It's now a question of when rather than if CCM will be doomed. CCM si chama tena - ni dola iliyojificha nyuma ya rangi za kijani na njano. Ni muunganiko wa mashaka uliojikita zaidi katika maslahi ya makundi yanayosigana na kulana yenyewe - kwa kujua au kutokujua. That's a recipe for doom. It hinges on political unsustainability and soon cracks will start (if they haven't started already) appearing thin and fast.

Needless to mention the fact that the government is currently broke and economically vulnerable. This harassment against the opposition just makes it worse because the FDIs are going to continue dwindling big time. And you know what? The wananchi will start feeling the pinch and that will be the beginning of the end of CCM!

Pin this post.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…