Uzeeni mwanaume ana uhitaji wa ndoa zaidi kuliko mwanamke. Chukua hatua

Sasa si amekulezea kuwa babu yake yupo vema tu anaishi sasa unataka kuilazimisha akili ya kila mtu iamini kuwa mwanaume lazima aumwe na lazima asaidiwe na mkewe. Khaaaaaah
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah umenichekesha sana. Mchango wako uliotoa umeongea exactly kile nilizungumzia kwenye mijawapo ya comment yangu hapa. Wataalamu wa psychology wanasema intelligence always connects with intelligence through logic.

Namna umepangilia hoja zako ni exactly maoni ambayo nimetoa katika comment yangu mtu anaweza sema wewe umeniiga au nimekuiga. So kiufupi wanaume tumeanza kutumia akili zetu za asili kufikiria na sio kutumia hizi akili za kupewa na wachungaji na MC wa Inspiration talks.

Mtu anakwambia ukiwa na mkeo mnafanya kazi mkeo analipwa milioni 2 na wewe unalipwa milioni 2 hapo nyumbani kwenu usiseme mna milioni 4 bali ni milioni mbili yako maana pesa ya mkeo si yenu ni yake pekee yake. Huu UFALA ndio unajazwa kwa watoto wa kiume nao kama mabwege wanakubali kuwa ni kweli ni sahihi watoto wa kike wakichekelea maana wanajua hii kitu inawabenefit wao.

So i believe as tunaendelea hii movement ya Masculinism a.k.a MGTOW itawafikia watoto wote wa kiume na wataweza kuimarika na kujitambua na kujenga uwezo wa kujisimamia na kuwa wanaume kamili sio kuwa mabwege.
 
Nilikuwa nikimtazama mzee wangu, najiuliza hivi bila huyu mama huyu mzee ingekuaje? Watoto wote wapo busy na familia zao. Tukishahakikisha wana chakula ndo basi, sana sana ni simu za mara kwa mara ila mke wake ndo kila kitu kwake.
Kila kitu kwenye eneo gani hebu kuwa specific.
 
Kila kitu kwenye eneo gani hebu kuwa specific.
Kuna nyakati zinafika, hakuna unachojali zaidi ya kufurahia wajukuu wako, Huna jipya la kutafuta tena duniani, wala huna jipya la kupoteza. Ulichonacho ni binadamu wanaokujali sio sababu unawapa fedha bali sababu wewe ni baba, mume na babu kwao.
 
Reactions: Cyb
Yote haya yatakukuta ikiwa umezeeka ukiwa lofa
Ndugu yangu, hela haiwezikukufanyia kilakitu, unaweza kumlipa mdada akufanyie usafi n.k lkini hawezi kukufeel kama mke wako au mtu wa karibu atakavyokujali
 
Noted Mkuu, kuna vitu nimeshaanza kuvifanya kama ulivyoeleza kwenye hitimisho, ikitokea nimefika huko sitaki nimtegemee watoto wala mama yao kabisa.
 
Ndugu yangu, hela haiwezikukufanyia kilakitu, unaweza kumlipa mdada akufanyie usafi n.k lkini hawezi kukufeel kama mke wako au mtu wa karibu atakavyokujali
Nadhani bado ni mgeni, huwajui wanawake. Uumwe halafu akutendee vema huyo sio mamako
 
Uzee upi karne hii mtoa mada? Kwanza sahvi 60 tu kama upo hai na huelewi basi inabaki kuhesabu masaa tu uende.... Na hapo 60 yenyewe uwe na mke mwema kwelikweli, la sivyo ukiingia ndoani na hawa wanawake ambao ni rafiki yake na nyoka hata 50 hutoboi.
 
UNAJIDANGANYA SANA.................ILA KAMA UMEOA TAYARI PAMBANIA HIYO NDOA ITAKAYOKUUA KWA STRESS
 
Sina uhakika na ulichokiandika mleta mada, suala la kuitaji msaada uzeeni inategemea wapo wazee wanaoishi wenyewe tu pasipo kutegemea msaada wa mtu yeyote. Lakini ni vizuri kuwa na mtu wa kuishi nae unapokuwa kwenye hatua ya kutokujiweza nakumbuka kuna mzee mmoja alikuwa umri umeenda sana alikuwa akiishi peke yake umauti ulimfika, majirani zake walikuja kujua baada ya kianza kisikia harufu kali sana ikabidi wafatilie wakaja gundua mzee amefariki.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Inasaidia Nini mwili wako ukizikwa mbichi au uwe umeoza? yaani ukae na jambazi ndani kwa vile tu siku ukifa aje atoe taarifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…