Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣1. Kwanni utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini
2. Uzi wa kupeana likes
3. Uzi wa vyakula: Mwanzisha uzi alipost mkate una panya ndani yake. Hiyo picha ilinifanya niuchukie uzi mzima.
💯💯💯Uzi wa wazee wa mikeka ni kama tamthilia ya isidingo au days of our lives......yaani ni maisha ya kila siku yenye mikasa tele! Huwa hauna mwisho
Sijamaanisha ninauchukia! Maana yangu ni kwamba, kila siku ninauona huo uzi uki trend, ila sijawahi kuielewa content yake.Huu mbona mzuri sana tu boss sema mwanzoni unaweza usiuelewe
Huu uzi hauishiKwanini utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini
[emoji23][emoji23][emoji23]Thread 'Uzi gani una-trend hapa Jamii Forums lakini haukuvutii?' Uzi gani una-trend hapa Jamii Forums lakini haukuvutii?
Daah nisamehee mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Kati ya hizo ulizotaja tatu ni zangu
Pamoja sana wala usijaliDaah nisamehee mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Namba 2 una shida gani?1.kula tunda kimasihara.
2. Jamiiforums usiku wa manane.
3. kupeana likes sijui na comments.
4. Kwanini utumishi……..
5.Uzi wa kubet
Hizo nyuzi sijawahi kufungua hata siku moja.
Hata hivyo uzi wangu pendwa wa Chakula kuna watu hawajawahi kuufungua, kweli mtu chake.
Watu wanajifanya akina Ben Kiko kusimulia vita vya Ukraine wakiwa wapo ChanikaKuna uzi unaitwa yanayoendelea cjui updates ya vita vya urus na Ukraine. Uzi unatembea balaa Sasa cjui ni mambo gan yanawafurahisha watu kwenye ule uzi... Sometimes nahis ule uzi unajaza tu servers japo servers sio za bibi yangu
Selfika[emoji23]Uzi wa kubeti
Selfika
Picha za warembo
Mbona unachekaSelfika[emoji23]
Mtuachie uzi wetu wa dar vs nairobi. Kaeni hukohuko kwenye mauzi yenu yakusifiana vishunduu
Mtuachie uzi wetu wa dar vs nairobi. Kaeni hukohuko kwenye mauzi yenu yakusifiana vishunduu