Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

Nakumbuka nilipotea hapa jukwaani kama miezi tisa hivi,basi nikiwa huko nilikokuwa nikawa nasoma tu nyuzi za wanajamiiforums, kupitia simu ya mwana,kila nyuzi ninazosoma kwa muda wote huo,hakuna coment Wala tag, ya kukumbukwa
Hata kwa mabaya yangu. Asee niliumia Sana Kumbe hata ningekufa ingekuwa poa tu, wakuu tukumbukane, au mnataka tuandamane mpaka ofisi za jamiiforums ndipo mjue na sisi tupo? semeni au tulete mgomo baridi

Ww ndie mwenye shida, jamii forums kama social media zingine hujui walioko nyuma ya keyboard ni kina nani.
They dont care hata ukifa leo so enjoy kwa muda wako but remove matarajio
 
Ndio leo naanza kuifahamu ID yake.
ndicho ninachokizungumza hapa nashukuru kwa kunijua leo maana kidogo naona nuru imeanza kung'aa ila mimi nipo humu kabla jamiiforums haijaanzishwawaulize mods wanalijua hilo asante kwa kunikumbuka pigapg kifua angalia juu sema nimechelewa kumjua
 
Back
Top Bottom