Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kweli. Mambo haya ya kuwakilisha taifa zima yana matatizo yake. Afadhali mechi za mchangani kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Abee shemeji[emoji23][emoji23][emoji23]kijana kachoka mechi ya kimataifa si mchezo et[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaNakusalimu mzee wa tukuyu
Kwa hisani ya yule bibi yako[emoji23][emoji23][emoji23]oooppps sorry mkeo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna page nimepita nikakuta una likes 1 au 2, nilishangaa! Lakini nimejifunza kitu, kwamba member wengi wakija wanakimbilia mbele hivyo wanaacha post nyingi zikiwa hazina likes. Sijapenda hiyo kituWadau wanaoniruka warudi wanitendee ubinadamu siruki mtu mimi
Like is just like, and nothing more
Mbagala is my home bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbagala. Shimba ya buyenze
At least sisi tulioko mikoani tuna pata fresh kutoka shambani kwa wakulimaSisi tunaokaa mitaani huku mchicha unalimwa nyuma ya choo acha kabisa ni vile Mungu anatupenda tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe ni mchapa kazi na ninakubariki ndani ya damu ya Kristu Yesu Mungu pekee aliyehai.
Hahahahaha anakusumbua nini tenaNipo 5 hrs ago,carba usinisumbue
Notification ni shida kwake nafikiriNashangaa mkuu Ruta haoni likes nilizomwagia, na kuna maeneo nimekuta wadau wamemruka mi nikampa za,kutosha. Haina shida pateni likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vyema vyakula vya siku hizi haviaminiki mana kila kitu ni chemicals tu,kubadili chakula nalo ni jambo la msingi...haya mavyakula ya migahawani ni hatari nayo mana unaweza lishwa chakula cha juzi bila kujua ndio mana napenda kula nyumbani kwakweliKwa sasa kusema kweli hakuna pa kukimbilia unless ulime mwenyewe na upike mwenyewe. Daktari wangu alinipa ushauri wa maana sana. Usile chakula kile kile kwa muda mrefu. Badilisha badilisha na kula kila kitu in moderation - hata vyakula wanavyosema kuwa ni vizuri as long hujui vimekuzwaje, vimevunwaje, vimehifadhiwaje na kuandaliwaje. Tulikuja kugombana aliposema niache kabisa kula ugali kabisa eti carbohydrates na sukari.
Hatari sanaNyuma ya choo mbona salama tu hiyo. Kimbembe ni pale mboga zinapomwagiliwa maji yenye makemikali makali. Yaani mbolea zenyewe ukizifanyia uchunguzi wa kisayansi in sense siyo mboga bali ni sumu tupu. Mpaka molecular structure yake inabadilika.
[emoji23][emoji23][emoji23]ndondo cupKweli. Mambo haya ya kuwakilisha taifa zima yana matatizo yake. Afadhali mechi za mchangani kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbagala iko powa sanaMbagala is my home bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaraha sana mtihani uko dar bhanaAt least sisi tulioko mikoani tuna pata fresh kutoka shambani kwa wakulima
Kuna sehemu inaitwa Ihumwa hapa Dodoma aisee wanalima mboga hatari na wanasafirisha kuja dar kila Siku lakini mahitaji ya mboga mboga za majani dar ni makubwa sana lazima zile za sumu na nyuma ya choo ziwepo sokoniYaani siku hizi tunakula sumu tu hakuna hata chakula salama
Nisaidie kuuliza mana huyu mhenga hata simuelewi,akikujibu niiteHahahahaha anakusumbua nini tena
Hapa salama ndugu yetu, tatizo tulilonalo mpaka sasa ni kupotelewa na ndugu zetu wawili wapenzi , bw ho chi minh, mkaazi wa ikwiriri na Kichwa Kichafu aka KK, mkaazi wa Kibiti. vinginevyo tuliobaki tuko poa ingawa tuna huzuni. KARIBU sanaHabari za hapa ndugu zangu.