Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Tulipokuwa WATOTO Tulitumia PENSELI lakini UKUBWANI Tunatumia PENI.... MAKOSA ya UTOTONI ni RAHISI kufutika sababu pencel ina kifutio lakini UKUBWANI NI VIGUMU kwa vile PEN haina kifutio hivo kuwa MAKINI na mwangalifu katika MAISHA ishi na watu vizuri ili usifanye makosa kwani watu hukumbuka mabaya zaidi kuliko mema unayowatendea! Hii ni sadaka nakupa Rafiki yangu mpe nawe unayempenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…