mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wenzetu walioendelea ukishindwa tu uchaguzi unaachia mpka kwenye chamaWapinzani wa Afrika hawana hayo. Wanapigania demokrasia wakati wenyewe huko vyamani wameng'ang'ania madaraka miaka nenda miaka rudi. Wengine mpaka vyama vinawafia. Mtu anagombea mpaka mara tatu/nne anashindwa ina maana hakuna wengine huko?
Safi kabisaVurugu za kupinga matokeo Kisumu zazimwa na polisi sasa shwari
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama mimi. Mpira ni big no. Huwa sielewi eti Aseno au Livapul imefungwa huko Uingereza mtu yuko Mbagala huku anashindwa kula mihogo yake kwa sababu ya maumivu ya kufungwa. Sitakaa nielewe hii lojiki aisee...
SawaVITU HIVI NI HATARI KWA FIGO ZAKO;
Figo ni kiungo muhimu katika mwili wa binadamu, kiungo hiki kipo pacha (pair),figo moja iko upande wa kulia na ingine upande wa kushoto chini kidogo ya mbavu.
Watu wengi wamekua wakipatwa na magonjwa mbalimbali kama vile kuambiwa damu chafu, mara presha n.k mara nyingi inatokana na figo kutokufanya kazi vizuri na hii yote inatokana na vitu ama vitendo mtu anavyofanya zinazopelekea kuharibu utendaji kazi wa figo.
HahahhaaNi ceiling ya Vatican au ni mjengo wa mtu huko Ukerewe?
Sawa,endeleaFigo hufanya kazi zifuatazo;
--Figo huchuja damu, ambapo hutoa sumu zote zilizoko katika mwili na vitu vingine vyote vilivyozidi mwilini.
--Figo huzalisha vichocheo vya mwili (Hormones) ambavyo ni muhimu sana katika utendaji kazi wa mwili ( cordination).
--Figo husawazisha jotoridi la mwili, ambapo ikiwa ni joto sana basi unajikuta haukojoi sana lakini ikiwa ni baridi sana basi unakojoa mara kwa mara, hii husaidia pia kuondoa tatizo la presha.
Wazungu walileta demokrasia ili tukae kulumbana na kusahau suala la maendeleo! Hilo ndio lengo lao.Mpaka demokrasia (whatever it is) inakosa maana kabisa. Wengine mpaka wanaapa kabisa "Safari hii tutahakikisha kuwa hatuibiwi kura. Ushindi ni lazima". Wakishindwa mara tena unasikia "Tumeibiwa kura". Wazungu walitulazimisha tu haya mavyama mengi bali hatukuwa tayari na naamini hata hatujui dude hili demokrasia maana yake nini. Matokeo yake ni vurugu tupu !!!
Siasa ni kama kamari. Kila ukiliwa unaamini kuwa raundi ijayo jackpot itaitika. Hata ushauriwe vipi na uonyeshwe jinsi odds zako za ku-hit jackpot zilivyo ngumu hukubali. Unaona hao washauri kama wanakuonea wivu na unaendelea kujaribu tena na tena.Kwahiyo ni bora aendelee kupoteza pesa zingine zaidi?
Ni kweli,tena unakuta huyo aliyeshindwa hagombei tena.Wenzetu walioendelea ukishindwa tu uchaguzi unaachia mpka kwenye chama
Siasa hatariYaani we acha tu!
Nimekomaaa kabisa my love!
Yaani ni no kulala!
Duh!
Haki ya Mola wangu!
Although it was such an experience not to repeat again in my life!
Ni ceiling ya Vatican au ni mjengo wa mtu huko Ukerewe?
Daah! Safi sana mkuu,umeelezea vizuri sana,nimekuelewa.Siasa ni kama kamari. Kila ukiliwa unaamini kuwa raundi ijayo jackpot itaitika. Hata ushauriwe vipi na uonyeshwe jinsi odds zako za ku-hit jackpot zilivyo ngumu hukubali. Unaona hao washauri kama wanakuonea wivu na unaendelea kujaribu tena na tena.
Tatizo ni moja shimba tangu tume za uchaguzi ,usimamizi wa kupiga ,usimamizi wa kuhesabu, watu wengi wana kuwa ni systemWapinzani wa Afrika. Kila wakishindwa kura zimeibwa. Kha !!!
HahahhaWe jamaa hauko sawa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahhaWe jamaa hauko sawa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]