HahahhaWe jamaa hauko sawa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asee, nakuelewa2• UVUTAJI SIGARA:
~Uvutaji wa sigara hupelekea kudumaza na kufanya mishipa ya damu kua mifinyu (Arthrosclerosis), hali hii hupunguza damu kuingia katika figo, madhara yake sasa sumu nyingi hubaki mwilini na kazi zingine zote za figo hushindwa kufanyika kwa ukamilifu mwisho wa siku huibuka ugonjwa mkubwa kama vile presha n.k
Kama lipumba vileYa tatu nafikiri
Sawa, unasomeka3•UKOSEFU WA LISHE BORA HASA VYAKULA VYE VITAMINI B6:
~ vyakula hivi ni kama , nyama ya kuku, samaki,mboga aina ya spinach,karanga, mbegu za alizeti (mafuta ya alizeti ni mazuri sana kwa figo zako),ndizi nazo ni nzuri sana kwa figo zako. Ukosekanaji wa vyakula ama vitamini B6 huletekeza tatizo la mawe katika figo ( kidney stones), huu ni ugonjwa hatari sana, figo hushindwa kuchuja mkojo na hata inaweza ziba mkojo usitoke,matokeo yake inaweza ikawa ni kufanyiwa upasuaji mdogo ama mkubwa wa kutoa figo kabisa.
kukubali matokeoKenya..
Walihack Mipango yao ya ushindiVipi na Democratic walivyosema Russia wamehack system
[emoji111]Walihack Mipango yao ya ushindi
Sio kura mkuu
Hahahahaa nimemwambia my Queen aache kabisa mambo ya siasaAlishinda? Kuna mtu anataka kugombea urais 2025 na ameniomba niwe chief strategist. Uzoefu wako please?
Kama wapinzani wanayajua haya, mbona hawatafuti suluhisho? Kuna faida gani ya kushiriki uchaguzi huku unajua kabisa kuwa kura zitaibiwa tu na kwa namna yo yote ile huwezi kushinda? Solution yake ni kulalamika tu kura zinaibwa miaka nenda miaka rudi? Kenya wana tume huru ya uchaguzi kama sikosei; na walishawahi kuangusha chama tawala. Ni kweli kuna wizi mkubwa wa kura kama Raila anavyodai?Tatizo ni moja shimba tangu tume za uchaguzi ,usimamizi wa kupiga ,usimamizi wa kuhesabu, watu wengi wana kuwa ni system
Na huu mfumo wa IT ni shida sana suala la Ku hack matokea ni rahisi kwa walio madarakani
Modern world
Mbona bungeni yanatokea mambo kinyume na mabunge mengine duniani kote.. UsishangaeKama mimi. Mpira ni big no. Huwa sielewi eti Aseno au Livapul imefungwa huko Uingereza mtu yuko Mbagala huku anashindwa kula mihogo yake kwa sababu ya maumivu ya kufungwa. Sitakaa nielewe hii lojiki aisee...