Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chaaah!

learn to serve
 
Aisee! Sasa hawa wanaoshindwa, pesa walizopoteza huwa wanazirudishaje? Hasa kama kauza nyumba, viwanja na assets zinginezo? It must be hell japo ndo ujasiri wenyewe wa kuthubutu maishani!
Wakiwa na huo uchu wa madaraka, wanakuwa kama mateja wa heroine!
Maana wanajiona tayari wamesha kuwa wabunge na kuchaguliwa kuwa mawaziri kwenye wizara nyeti!
Alafu watu walio wazunguka ndiyo matapeli wa hali ya juu!
Ni stressful comedy walahi!
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…