Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole sana
Matapeli ni hatari sana na wana mbinu nyingi sana
 
Kaibiwa kura. Isn't that obvious? Wapinzani wa Afrika wana sababu nyingine wakishindwa?
Hawana tena anajichanganya vibaya. Huku anadai hawajapewa fomu husika ili wazikague kama ni sahihi lakini sijui bila hizo fomu ambazo anazo kupitia mawakala wake anazo hajazihakiki na khoja za kupinga matokeo hazina msingi
 
SYB vinchi hivi vina tabu sana...alie madarakani kumtoa hata kama hafai ni shida, tume huru ni ipi.. watu wanomba kazi kwenye tume au anawachagua alie madarakani?
tuombe amani
 
Moi alishinda chaguzi zote ya kwanza dhini ya Jaramongi baba yake Raila
Ya pili dhini ya Mwai kibaki kumbuka Katibu mkuu wa KANU alikuwa Raila wakati wanakwenda kwenye uchaguzi mwingine baada ya Moi kumaliza muda wake akatoka KANU na kuja kumsapoti Kibaki dhini ya UHURU
Nguvu ya Kibaki akiwa opposition na Ya Raila aliyetoka KANU wakiwa tayari na mbinu zote za uchaguzi
Uhuru alishindwa asbh na mapema chaguzi zilizofuata kila mtu anajua nini kilitokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…